Amatus Liyumba: Balaa!

Ngoja niku PM. Mzee


JF tunasema "WHERE WE DARE TO TALK OPENLY" maana yake nini? Mnaogopa nini kuweka wazi. Kam mtu kaukwaa tatizo nini kumsema hapa. Hisia ninazopata hapa nikuwa WE CANNOT DARE TO TALK OPENLY


Basi namimi ni-PM
 
jamani naomba kujua huyu liyumba bado yupo hai ama?na kwa sasa baada ya kutolewa BOT ana ishu gani?wapi? kuna kipindi niliskia kikwete akidai anataarifa zake (za kusambaza ukimwi na kuhonga red cars)na atadeal nae je iliishia wapi?
 
Kama JF imekuwa na mijadala kwa mtindo wa PM, then naomba na nipate hizo PM.
...Bravo RR, yaelekea hizi habari zinaenda kwa kujuana kila mtu ni mpaka apewe PM sijui inakuwaje au JF siku hizi habari kwa kujuana?? Wekeni mambo hadharani jamani tujue huenda akawa amepitia hata kwenye mitaa yetu huyo"Fisadi"
 
Mbona huyo JK ametoa ahadi kibao za kudil na watu mwenye makosa lakini hadi leo sioni kama ameweza kutimiza ahadi hata moja. kama vile wauza madawa ya kulevya, Mafisadi etc
 
Naona mjadala umebinafsishwa! Sasa sijui ni woga au kuna watu wanataka kumprotect Liyumba kwa sababu wanazozijua wenyewe au ndio JF inaanza kupoteza muelekeo.
Sababu kubwa iliyonifanya niwe addicted na JF ni uwazi uliopo, najua nikiingia hapa nakamata vitu ambavyo siwezi kuvisoma kwingine kokote na ningefurahi kama hili halitabadilika.
 
na mimi mni PM
asanteni

JF ni ya wenyewe, na wenyewe ndiyo wanaoji-PM, na ndiyo WAONGO WAKUBWA WA KUSEMA MAOFISA WANAOKATALIA HABARI HALAFU ETI JF is WHERE WE DARE TO TALK OPENLY,

Sahau hakuna PM utakayopata maana wenye JF wameamua wameamua kutumia PM kupashana habari hapa maana mmezidi kutafuta habari wakati wao ni WAOGA KAMA KUNGURU kutoa habari inapotokea mhusika wa habari hiyo ni MWENZAO kama LIYUMBA
 
JF ni ya wenyewe, na wenyewe ndiyo wanaoji-PM, na ndiyo WAONGO WAKUBWA WA KUSEMA MAOFISA WANAOKATALIA HABARI HALAFU ETI JF is WHERE WE DARE TO TALK OPENLY,

Sahau hakuna PM utakayopata maana wenye JF wameamua wameamua kutumia PM kupashana habari hapa maana mmezidi kutafuta habari wakati wao ni WAOGA KAMA KUNGURU kutoa habari inapotokea mhusika wa habari hiyo ni MWENZAO kama LIYUMBA

Boma sidhani kama kuna wenye JF, na ndiyo maana inaitwa JamiiForums iko kwa ajili ya wote; mimi, wewe na yule. Kitendo cha watu kuamua kutumiana PM ya hizo info ni utashi wao aidha kwa kuwa hawapendi kuonekana wao ndiyo vyanzo vya habari hizo ama kwa sababu za kwao binafsi.
 
paullih
paullih has no status.
Junior Member Join Date: Mon May 2008
Posts: 6
Rep Power: 0

Thanks: 0
Thanked 5 Times in 3 Posts
Credits: 446

Re: Liyumba wa BoT adondoka Kazini

--------------------------------------------------------------------------------

PM ni nini basi?

PIMA
 
Jamani Tumeandika Sana Nafikir Huyu Bwana Anjulikana Na Mnajua Nna Dada Wapi Wamepitiwa Utakuwa Mjadala Wa Mmaana Kama Tutaanza Kumwaga Majina Humu Ndani Ili Tuangalie Wengine Kama Tukimbilie Kuchongesha Zeneja Mapema Au Tuwaachie Ndugu Wakutane Nalo!!!!1

Salama Jabir



Sophia Nyerere



Yule Demu Wake Predeshe Mmoja Aliekuwa Akigawa Pesa Sana Kwa Madada Zetu

Bi Ezekiel..............(mrs) ..........


Wema Alikoswakoswa Sijui Mwisho Kama Alifanikiwa!!!!!!


Watoto Wa Shule Pale Jangwani


((((((((un Accountable))))))

Veriiiiii Siriaziiiii Jamani Wale Watoto Amewatafuna Kama Karanga Za Saida Karoli!111

Mwenye List Ashushe Kuondoa Mambo Ya Kupeana Pole Wana Jf Kwa Msiba Kila Siku Uku Mnajua Nani Anumwa

Bado Nko Njiani Pita Pita Yangu Ntwamwagia List

Onyo Usiandike Mtu Kwa Kutolewa Nje!!!!!mwiko Umbeya No

Saidia Jf Idumu
 
Mwanaizaya,

Huyu bwana toka asemwe ni kama miaka 6 hivi imepita, Hao unaowataja hapa una uhakika nao?, nauliza kwa sababu anaweza kuwa nao (sijampima) ila akawa anatumia Condom akitoka nao.

Wakati huyo bi Ezekiel unayemtaja anachipukia kila mtu alikuwa anajua na yeye Bi Ezekiel alikuwa anamjua huyu mzee na hizo tabia chafu(kama anazo), sidhani kama Bi Ezekiel angeweza kufanya hayo.

Nachelea usije ukawa unaeneza majungu kwa kutaja majina ya watu. Hao uliowataja hapo juu nafahamiana nao kasoro mmoja.

Mie mwenyewe list ninayoisikia ni ndefu ila nisingependa kutaja majina maana hilo tendo hutendwa na WATU WAWILI KWENYE KUTA NNE.
 
MKUU FAIRPLAY

Huyu bwana toka asemwe ni kama miaka 6 hivi imepita, Hao unaowataja hapa una uhakika nao?, nauliza kwa sababu anaweza kuwa nao (sijampima) ila akawa anatumia Condom akitoka nao.

YAH NAFIKIRI HAPO KIDOGO ATUKO PAMOJA ,SIJA SEMA WANAO ILA WAMETEMBEA NAE!!!UHAKIKA NINAO MKUBWA NA KAMA UNAWAFAHAMU VYEMA UKAOMBA WAKUADITHIE!!!!!SWALA LA CONDOM MKUU NI KUTA NNE TU ZENYE USHUHUDA WANAWEZA WAKAINGIA NAZO NDANI NA WASIZITUMIE MIMI NA WEWE HATUJUI NA HATUKUWEPO!!!!!WAO NDIO WENYE USHAHIDI

"""""Wakati huyo bi Ezekiel unayemtaja anachipukia kila mtu alikuwa anajua na yeye Bi Ezekiel alikuwa anamjua huyu mzee na hizo tabia chafu(kama anazo), sidhani kama Bi Ezekiel angeweza kufanya hayo."""""""

MKUU FAIRPLAY KUJUA SI TATIZO ..HATA MADADA ZETU WENGI WANAJUA WANUME MALAYA SABABU YA TAMAA ZAO WANAAMUA LIWALO NA LIWE
HUYO BI EZEKIEL UNAEMSEMA NFIKIRI NAMJUA KULIKO UNAVYOMJUA ,,TANGU ALIPOKUWA KULE BAGAMOYO YULE BWANA ALIKUJA AKAMSUMBUA SANA HUKU AKIMTUMIA MISS MMOJA TOKA RUKWA KUMLAGAI '
BI EZEKIEL,,NA HILI HATA YULE KAKA YETU PREDESHE ANALIJUA SANA NA WALIKUWA WANAWANGALIA ANAVYOHANGAIKA!!!!LABDA NIKUSAIDIE
PALE BAGAMOYO WENGINE TULIKUWA NA MAMBO YETU BAGAMOYO,,SABABU YA PDIEM TUAAMIA KWENYE GUEST HOUSE..NA HUYU BWANA ALIKUWA 3ROOM ..NA HUYU BINTI AMEKUWA AIWA NAE MUDA MWINGI NA LABDA KWA TAARIFA TU ..YULE KIBOPE ALIAMUA KUMDIS BAASDA YA KUHAKIKISHIWA BINTI ALILIWA KICHWA.....NA CONDOM AU MI NA WEWE SIJUI"""

Nachelea usije ukawa unaeneza Nachelea usije ukawa unaeneza majungu kwa kutaja majina ya watu. Hao uliowataja hapo juu nafahamiana nao kasoro mmoja.

"""""HAPO HATUKO PAMOJA TENA KWA UPANDE WA MAJUNGU NAFIKIRI WEWE NDIE UTAKAEKUWA UNAENEZA MAJUNGU!!!KAMA UNA MAJINA YA WALIOTEMBEA NAO UNAYALALIA NA SIKU UKISIKIA MSIBA UNAKUJA KUSEMA
""""ULALE SALAMA R.I.P ^&**((

UONI MAJUNGU ZAIDI KULIKO NINAOWASAIDIA KUTAJA ....HATA KAMA WAMETEMBEA NAO WAJARIBU KUTENGENEZA NJIA ZAO VYEMA!!!!!

Mie mwenyewe list ninayoisikia ni ndefu ila nisingependa kutaja majina maana hilo tendo hutendwa na WATU WAWILI KWENYE KUTA NNE
""""
MKUU FAIRPLAY HAYA SASA NDIO MAJUNGU!!!!1
LIST UNAYO UNASEMA NDEFU KWA NINI USISAIDIE KUTAJA WATU WANAOWAJUA WAWE MAKINI!!!!KITU CHA KUKUELEKEZA USIOGOPE KUTEMBEA NAE SI LAZIMA UWE UMEATHIRIKA ILA UNAMWEA MTU MAKINI ZAIDI KABLA YA KUJIAANDAA!!!!

MWISHO NASHAURI MAJUNGU MWIKO!!!1UKWELI DAIMA

HESHIMA MKUU FAIRPLAY
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom