Amatus Liyumba: Balaa!

Boma sidhani kama kuna wenye JF, ......... Kitendo cha watu kuamua kutumiana PM ya hizo info ni utashi wao aidha kwa kuwa hawapendi kuonekana wao ndiyo vyanzo vya habari hizo ama kwa sababu za kwao binafsi.

Mimi nadhani kama hawakutaka hiyo habari tuijue, wangeacha kabisa kuiweka hapa wakatumiana PM bila kututia muwashawasha. Kwani hapa nani anajulikana kwa jina halisi, KAMA NI UOGA WA KUJULIKANA mbona thread nyingi tena za hatari zinawekwa hapa. HUOGA HUO TAYARI UMETOA MAANA YA JF ya "Where We Dare to Talk Openly"
 
You all didn't get the joke!!
 
Ukiona watu wamehaanza pm it means hutapata habari zote kwa sasa. Mwanakijiji na mi ni PM basi then nita PM mlalahoi

Jamani hii si njema kwa nini kupeana habari kwa upendeleo? Kumbukeni kuwa hapa Ndio mahali pekee tunapothubutu kuzungumza openly. Kama ndivyo basi wekeni habari hapa opennly

Sipendi mimi ebo!!!!!!!!!!!!!
 
Tatizo wengine wanaoshupalia mjadala huu ni wahusika wakubwa wa UFISADI huu wa kijamii, wanatofautiana na huyu habithi LYUMBA kwa UMAARUFU na KIWANGO cha uhongaji tu.....

Ngoja madhara yake yamalize familia zao labda watweza amka na kujirudi..

Tanzanianjema
 
Hivi ina maana kama ni kweli serikali haina uwezo wa kumwekea uchunguzi na kisha kumchukulia hatua kama kweli anaueneza kusudi?? Je si tunaambiwa serikali ndie baba yetu na sisi ni watoto wa serikali? Inapaswa kutulinda pamoja na kuwa tuna utashi wetu wa kujua baya na zuri lakini wanafunzi je? Ambao akili zao hazijakomaa? tuwaache waangamizwe na kicheche huyu na wengine wasiofahamika??

Ni kijiswali tu.
 
Wana-CCM poleni ''KATIBU WA CCM MKOA WA MBEYA AMEFARIKI DUNIA
''
Na yeye sijui kama wadada watasalimika japokuwa yeye alikuwa haongi gari nyekundu.
 
Je, huyu Lyiumba ni yule ambaye amesababisha mama mmoja na wasichana wawili kufungwa miaka 5 na saba tarehe 25/7/08 Mahakama ya Kisutu?.
 
Liumba kwa data za uhakika,
Mke wake amefariki mwaka jana kwa miwaya baada ya kuugua muda mrefu sana akiwa kitandani tu mama wa watu.
Binti yake ambaye alikuwa anafanyakazi BOT naye alifariki mwaka jana hakuachana sana na mama yake pia na miwaya.

kikubwa zaidi inasemekana Liumba alikuwa anakula kuku na mayai yake.Mungu amsaidie sana manake ana laana nyingi sana hapa duniani.

Du hatari. Nakuunga mkono mambo. Nami ilipata habari za uhakika kuwa alikuwa anatembeza uchi wake kwa mke na binti. Maskini binti mzuri sana, alizikwa pale Kinondoni VIP na kaburi lake nimeliona. Inasikitisha. Morals decline or erosion. Mungu msamehe. Tupatieni data za Liyumba baada ya kunyofolewa wadhifa wake pale BOT. Wenye data zake currently posting hapa.

Ila tu Liyumba ataondoka na wengi na wengine walishatangulia!!!! Poleni wazinzi hasa wale wanaotaka pesa ya Bure!!! No free lunches in the World!!!
 
astagh fi lulah! huyu mwanaume ana kichaa!!!!

Hana kichaa, ni mfumo wa maisha ya Kitanzania ndiyo wenye kichaa. How come mtu anajulikana kabisa anasambaza virusi kwa makusudi, na bado watu wanamchekea, na mabinti wanamfuata wenyewe kwa hiari yao bila kulazimishwa!

You may be amazed, but the truth is mabinti wa Dar es Salaam kuna mambo ya ajabu sana linapokuja suala la mwanaume mwenye pesa!
 
Kwa kuongezea, system nzima kwa maana ya mwajiri, watunga sera na sheria, mfumo wa utawala vyote vinampa huyu bwana kichwa kuendelea na ufirauni wake.Bila hiyo pesa ambayo anaipata pengine kwa njia isiyo halali asingefikia hapo alipo kueneza ugonjwa kwa makusudi.Nakumbuka hata Mkuu wa nchi aliwahi kuwa quoted akisema anasikia kuna mtu anahonga gari nyekundu kuambukiza UKIMWI.Kama tabia ya huyu dubwana inajuliakana hadi high places iweje bado wanamlea? Ikumbukwe kuwa si Liyumba na mabinti wapenda chapaa tu watakaoangamia bali hata wewe na mimi kwa maana ya kuwa hatujua huu mtandao umetandaa vipi.
Nilidhani hili kasheshe la BOT lingetoa a gud excuse to flash him out..ila naona bado ana survive tu. Kwa kuwa kumsimamisha au kunfukuza kazi itakuwa ngumu, kwanini asihamishiwe idara ambayo haina kitu zaidi ya mshahara, desk na magazeti kama wengine wanavyofaniwa hatimaye kuamua kuachia ngazi kwa hiari?
 
wait a minute...mie hii mada hadi nilisha i sahau na wala sikuwa pm....as nilikua natamani kweli kujua uhondo wooote kuhusu hiii mada!mko wapi mliokuwa m pmz??
 
Hajatembea na binti yake the issue is alitembea na mke wa mfanyakazi mwenzake hapo BOT!yule baba akaamua kulipiza kisasi kwa kutembea na binti ya Lyumba!mzunguko ndo ukawa kihivyo

Hapo patamu kweli kweli kweli, kamuambikiza binti yake indirect.
Kumbe mtu unaweza kumuambukiza kaka, dada na mzazi wako kwa mtindo huo
 
Quote:
Originally Posted by Mlalahoi
What should we expect kutoka kwa mtu aliyediriki kutembea na mwanae mwenyewe wa kumzaa ambaye hatimaye aliishia kufa kwa ukimwi aloambukizwa na baba yake mzazi?

Hajatembea na binti yake the issue is alitembea na mke wa mfanyakazi mwenzake hapo BOT!yule baba akaamua kulipiza kisasi kwa kutembea na binti ya Lyumba!mzunguko ndo ukawa kihivyo

First Lady,
Jibu lako limenifurahisha sana. Kuna jamaa alishambulia kuwa Mashoga ni Pedofiles. Jamaa aliangukiwa vibaya sana. Sawa na kusema Mnyongaji kachinja. Inawezekana jamaa ni Mzinzi wa kutisha Tz ila kumuweka katika kundi la wanaotembea na wanao (kula yai lako) ni kosa. Watu inabidi wawe wanajiuliza mara mbilimbili kabla ya kuandika au kuweka alama ya kuuliza. Sasa ukitoka mzima mzima, utaacha watu wakifurahi Buahaaa haaa haaaa!!
 
Hajatembea na binti yake the issue is alitembea na mke wa mfanyakazi mwenzake hapo BOT!yule baba akaamua kulipiza kisasi kwa kutembea na binti ya Lyumba!mzunguko ndo ukawa kihivyo

As far as I know,na inavyoeleweka kwa watu wengi huko nyumbani ni kwamba Liyumba alitembea na mwanae.Na,pengine utakuwa ushaskia,watu wengi wanaomjua vizuri huyu mtu huwa wanasema ANA LAANA HUYO.Awali nilisikia hilo kama tetesi tu lakini baada ya kulisikia kwa watu wanaomfahamu Liyumba in and out nimeamini ukweli ndio huo.
 
Taarifa nilizozipata ni kuwa kati ya leo na kesho anapelekwa India kwa matibabu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom