Amatus Liyumba: Balaa!

Attachments

  • Liyumba.jpg
    Liyumba.jpg
    32.4 KB · Views: 788
1. Huyu ndo anazambaza virusi kwa pesa ya BoT?

2. Picha inaonyesha ameanza kuchoka! Je ana familia?

3. Na ninyi kina dada mpunguze tamaa za kupenda vya mteremko.. sii tu kuwa mtapata virusi, pia mtawaabuliza wenzi wenu na hatimaye kuacha watoto ya tima!


4. Kama kuna ushahidi anaambukiza virusi kwa makusudi- TAMMWA kwa nini wasimkalie kooni?
 
Katika karne hii bado kuna watu wanatembea zipu wazi? yaani wanachovya ovyo? Duuuuu kweli akili ni nywele.
 
Kwa jinsi wadada wa bongo wanavyopenda "mchekea" naona hapo lazima wangefika...ndio hivyo tena.

Na inawezekana kawapata wengi kwani masistadu wapenda RAHA na ujiko nafikiri alikuwa anatongoza kirahisi tu--PESA TU. Na Ukimwi kwa mtindo huu hautaisha wala kupungua.
 
1. Huyu ndo anazambaza virusi kwa pesa ya BoT?

2. Picha inaonyesha ameanza kuchoka! Je ana familia?

3. Na ninyi kina dada mpunguze tamaa za kupenda vya mteremko.. sii tu kuwa mtapata virusi, pia mtawaabuliza wenzi wenu na hatimaye kuacha watoto ya tima!

4. Kama kuna ushahidi anaambukiza virusi kwa makusudi- TAMMWA kwa nini wasimkalie kooni?

Heshima yako Mkuu!

Kwani TAMWA ni chama cha Wanaume?

Na kama sio Chama cha Wanaume rudi kwenye statement yako namba 3
 
Na inawezekana kawapata wengi kwani masistadu wapenda RAHA na ujiko nafikiri alikuwa anatongoza kirahisi tu--PESA TU. Na Ukimwi kwa mtindo huu hautaisha wala kupungua.

Mi nashauri tusiwalaumu watoto wadogo wa kike wengi wanaotokea kutoka familia za kipato cha chini. Hata wale ambao ni middle class wanakuwa wanayumbishwa kirahisi na hongo. And who are we to judge them when morally all Tanzanians are corrupt in one way or another? Kama wewe si mtoa rushwa ni mpokeaji.

Do not blame the girls! Where are the parents? Msichana aliyelelewa katika maadili mazuri na anayetoka kwenye familia iliyo stable na yenye mapendo hawezi kuyumbishwa. But most come from broken families and with poor upbringing and that cuts across rich or poor families!

Mi namlaumu sana huyu mtu mzima Liyumba na arrogance yake na his disregard for others lives!
 
Heshima yako Mkuu!

Kwani TAMWA ni chama cha Wanaume?

Na kama sio Chama cha Wanaume rudi kwenye statement yako namba 3

Kuntakinte,

Nilimaanisha kama anajulikana ana virusi na anasambaza basi TAMWA wanaweza kuanza kupiga kelele na kumwanika ktk vyombo vya habari! Na hata kumchukulia hatua za kisheria- kwa maana hao anaowasambazia ni wanawake (na hata wanaume) na TAMWA hutetea haki za akina mama!

Ili kama anaumwa asubiri afe tu na sii kufa na wengine kwa pesa ya BoT!

Huu ikimya wa kutopenda kuongea kwa uwazi ktk ukimwi ndo unazidisha maambukizi mapya!

Pia hata kama wako mashugamami na wanaukimwi na wanasambaza kwa makusudi basi nao waainishwe na kutangazwa hadharani!

Tatizo langu ni hii hali ya jamii kukaa kimya wakati mwadhirika anasambaza na watu wanajua kuwa anasambaza!
 
Tunaweza kupata time frame hayo magaro mekundu yalianza kutolewa lini ili tuweze ku-assess damage..

Problem ya watanzania ni kuwa wasiri mno thats why huu ugonjwa utakawia kuisha kwetu. Tunatakiwa tufahamishwe who were the miss(es) this guy awarded the red cars to.
 
How about the baby sox, hazisaidii?
Na hao mabinti hawazitumii au?

Roya Roy,

Watafiti wa Behavorial change wanakuambia kondom hutumika mara za mwanzoni tu ila watu wakishazoeana basi huacha kuzitumia!

Sasa kuna ushahidi wa kutosha over this!

Nikuulize kitu??

Kondom zimekuwepo tangu 1990s- wakati only 200,000 Tanzanians walikuwa wameambukizwa- leo hii 2008 walioambukizwa na over 2m na kondom zipo tele kila mahali! Kumbuka Zuma pia alifanya ngono na mwanamke alieathirika na yeye Zuma hakutumia kondom!

Pia kumbuka maambukizi mengi mapya (new cases) yako zaidi kwa waliooa kuliko walio single! Kuna watu wanasema watu waliooa wengi hawapendi kondom, wanapenda raha kama ile ile au zaidi toka kwa mwenzi wake nyumbani! Wazee wengi vibosile wenye vimada huwa hawatumii kondom! Taabu hawa vimada wana mabzameni wa kuwatosheleza na hao pia hawatumii kondom!

Swali lako pana sana halina majibu rahisi!
 
Nadhani hii mada imepoteza mwelekeo baada ya hizo PM. Maana kila moja aliyepata PM katoka moja kwa moja.

Mimi sitaki PM ila nadhani PM itumike kama ilivyokusudiwa kutoa ujumbe binafsi na sio njia ya kuchangia mada.

Wapi slogani yetu "Where we dare talk Openly"??????. Ngggrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
Huyu Jamaa jina lake lenyewe tu anaitwa AMATUSI Mmmh!
Matusi kweli kweli.

We unategemea watu wa kawaida watasema wanao wakati tetesi zinasema hata MH Jkaya Mrisho Kikwete anahisiwa anao kwa jinsi alivyowahi na anavyo tumia Rungu lake la kati kwa kama hana akili nzuri.

Si unakumbuka mwandishi mmoja alimwuliza kuhusu tuhuma kwamba yeye anagonjwa akaruka kimanga kwamba yeye yu mzima wa Afya tele?

Kuna mgombea urais mwingine aliulizwa swali hilo?

Pengine hata hii misafri kibao inauhusiano na miwaya yake!

Nzi kufia kwenye kidonda si haramu, pengine kuambukizwa miwaya namwenye pochi au mtu muhimu kama President nayo si haramu.

Nani akubali ana miwaya achekwe?

Kama tunaisha wacha tuishe ili wageni wapate kisingizio cha kujaa Tanzania.
 
Liumba kwa data za uhakika,
Mke wake amefariki mwaka jana kwa miwaya baada ya kuugua muda mrefu sana akiwa kitandani tu mama wa watu.
Binti yake ambaye alikuwa anafanyakazi BOT naye alifariki mwaka jana hakuachana sana na mama yake pia na miwaya.

kikubwa zaidi inasemekana Liumba alikuwa anakula kuku na mayai yake.Mungu amsaidie sana manake ana laana nyingi sana hapa duniani.
 
Mheshimiwa FD,
sijaona PM yoyote pale kwangu kutoka kwako, please PM me kama bado.
Nami nitam-PM Mtaalamu
.

Ngoja niku PM. Mzee Liyumba amewamaliza wengi sana wa mastaa hapa nchini. Marehemu AC alikuwa mmojawapo. Kila magazeti ya udaku yakiandika kuhusu AC na mzee mzee alikuwa anakata hela kwa AC. Si huyo tu hata mtangazaji mmoja maarufu kwa sasa wanakaa kinyumba. Kuweka mademu kinyumba ameshaweka wengi sana, hasa waliokuwa wasanii wa kuigiza ndio usiseme.

Vijana wengi dar wapendao mastaa watakuwa wana huu udhaifu wa kinga mwilini.
Madada wanasema bora maisha ya raha mafupi kuliko marefu yenye shida.

Yaani wanakubali UKIMWI kuliko UPEMI (Ukosefu wa PEsa MIfukoni)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom