Am totally Finished

wanawake wapendweje!

Sio kila mwanamke unayempenda lazima naye akupende.

Jifunze mapenzi, its a game so do not hate the player hate the game its self.
 
unampenda sana kiasi kwamba uwezi mwacha,pigania penzi lako, but hiyo ni dalili kwamba kuna mtu anamdinya,ingekuwa mini natupa kule..... Naanza maisha mapya...

tatizo la kumlala mtu ni kwamba umeoa tayari. Na kwa wakristo kifo tu ndo kiwatenganishe. Kama hukumkuta bikira, basi tambua kesha tumika. Ni kumwelimisha tu juu ya mabaya anayoyafanya atajirekebisha. Ni vizuri pia kumkabidhi kwa mungu kupitia sala na maombi
 
tatizo wivu unakufanya umfikirie vibaya.....

Hebu tulia kwanza.....
Then onana nae uzungumze nae.......
 
Dah pole sana, watu wanakaa maisha yao yote wakitafuta mapenzi ya kweli, lakini wengine wanayachezea! angekuambia wewe kama kweli yupo sehemu salama na angewaficha wengine. Mapenzi yanauma sana aisee, i know, I have had so many sleepless nights, I have been there.
 
ok basi tufanye kaenda kuongeza ujuzi kidogo ili akirudi kwako ufaidi zaidi, sasa kumbe nisemeje?
 
tatizo,unapenda kupitiliza,na yeye analijua hilo.na kwenye hiyo chip ungeangalia ungeujua ukweli wote.usiwe weak kwake kiasi hicho.jaribu kupunguza kumtafuta,jipe muda mwenyewe tu,ila ipo siku ukweli utaujua.akianza kukubadilikia ujue kuna kitu au mtu anamzuzua
 
huu ni wimbo au nini ? mbona kilakitu kiko wazi and you don't need to be a rocket scientist to figure out what is goin on
 
fanya uchunguzi wa siku 2,ukigundua ana kusaliti, tupa kule
 
think twic my brother inaonesha waz bint kaanza usaliti na hata chip aloifuata fast ina walakin kwanini asipokee cm?
 
Mi nadhani msaidiane kushauriana na Billie mnaweza mkaelewa somo.

Ngoja aje.
 
Last edited by a moderator:
tatizo wivu unakufanya umfikirie vibaya.....

Hebu tulia kwanza.....
Then onana nae uzungumze nae.......

Hapokei simu zangu ila nimeambiwa amerudi nyumbani wamemtimua wamemwambia arudi alikototoka.Sasa hapa wadau nadhani inabidi maamuzi ya kiume yafanyike hata kama napenda.Yeye hataki kutoa nafasi ya kujieleza ,what does it mean?
 
Ukiona hivyo ujue keshapata guide mzuri wa kumfikisha kwenye kilele cha mlima Everest kama yule bwana Mosha aliyetuwakilisha huko.
 
Hapokei simu zangu ila nimeambiwa amerudi nyumbani wamemtimua wamemwambia arudi alikototoka.Sasa hapa wadau nadhani inabidi maamuzi ya kiume yafanyike hata kama napenda.Yeye hataki kutoa nafasi ya kujieleza ,what does it mean?

Anaona kama unamkera, haoni umuhimu wa kujieleza kwako!
Kama atarudi kwako atakuja na maelezo marefu sana, akitegemea umwelewe...
 
Hapokei simu zangu ila nimeambiwa amerudi nyumbani wamemtimua wamemwambia arudi alikototoka.Sasa hapa wadau nadhani inabidi maamuzi ya kiume yafanyike hata kama napenda.Yeye hataki kutoa nafasi ya kujieleza ,what does it mean?
Ewaaaa.... now you are talking.

Sasa waweza kuwaambia vijana wenzako maamuzi ya kiume ni yapi?
 
Pole sana usianze kuweka mawazo ya ajabu mapema ..nadhani ana maelezo ya kueleweka
Ewaaa........ Kuna kitu nlitaka kukuuliza Egyps-women lakini bahati mbaya ikaniangukia.... hivi ni kwanini umeamua kunifanyia hivi?......PM not allowed..
A,P20S-coffee.gif.pagespeed.ce.aRQlt7Zu77.gif

08tOyQDAwdqPxrICtOezUauCo4ft7cWD8vJU75n2j6f5mq+qmmzRm2VIH7QpAxImHDaPGKwFCxo0GLAgQQAEpQxKkjIlQgIFEQckQOCAgQSGnTgiCBBBQawADmJ9QPkI3xQMFVYmiIWAQawHHGgusslgSc6WAypI+PAAggaGQhEV9MAAQ40ACgY4SEKDgwYlUDfoazWlhAsJHozsEHKBAgQQPlmGTDkQawNdRbhMXMiQIQStDiJ+zD1AWKNNHDMoPFBBZEKLGCRGZJRVsyAFGStyTADxIgUMCz00KuJXDMKEGzaOFDmBhIdoRa8CxOqAQoeFIFFvHYpEyyGVQAA7
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom