Almanusura niolewe hotelini, mke wa mtu sumu

Hujawa mkwel...wana walikutafuna wew...cz ulivyokuw waandika n kwa huzun sana
 
Tata kama ungeliwa tungekubhisha khanga mura na kuanza kukuita Msubhati teh teh teh. Ila hawakugusa maeneo sensitibhu hata chuu chuu tata...?
 
"communication codes" hahahahaha!! Mimi nilikuwa natumia hii: chatting naanza na "shikamoo Dada" yeye anajibu gawiza!...akikosea tu kimya na kila wiki tunatengeneza code mpya....now days nimeacha huu mchezo hatari na huu uzee!
Bora wewe umenielewa. Hawa watoto wanakera kwa kuvamia mambo yaliyowazidi umri.
 
"communication codes" hahahahaha!! Mimi nilikuwa natumia hii: chatting naanza na "shikamoo Dada" yeye anajibu gawiza!...akikosea tu kimya na kila wiki tunatengeneza code mpya....now days nimeacha huu mchezo hatari na huu uzee!

Hahahahaaa hii nimeipenda.
cc DuppyConqueror
 
Last edited by a moderator:
acha hizo.una fanya pre empting?mbona kuna taarifa kuwa uligegedwa? pole sana kwa kuliwa.
 
Hii stori ume-edit...msema kweli ni mpenzi wa Mungu (kwa sauti ya Magufuli), ukipata muda utuambie ukweli...hata Mungu hapendezwi na edited stories..!
 
mi ningeshtuka mtu sauti ya unyonge af ana chat tu af ana vidonda sijui....ningeyeyuka tu....af bwana hapo ndio jiulize je pesa ndio uhaakika wa mwanamke kuwa na wewew....maana ooo mapenzi pesa sijui nini...mfyuuuu

kiongozi pole na hongera kujitutumua aisee....
 
mke wa mtu sumu ila ukiwa unabonyea nae utembee na mafuta ya cherehani ili kuliwa 0712 usipate maumivu.......mimi mke wa m2 hata bure sitaki na nkiwa n mwanamke hotel mlango huwa haufunguliwa siamini mtu maisha haya full usanii......dem anaweza panga mchongo then wa2 wakaja kufumania ili wavute hela
 
😂😂😂😂😂😂😂just made my morning ukapakwa na mafuta
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom