Miaka ya 2019 - 2020 nikiwa shule (advance) niliwahi kuzama kimapenzi na mtoto wa watu (alikua amehamia shuleni pale kwa muda).
Alikua karibu sana na mimi na tulishea mengi sana (lifestyle and background).
Nikagundua moyo ushazama kwake na yeye pia. Usiombe umzimie mtu naye afanye the same.
Nikapotezana naye bwana, nilimpa contact zangu, wakati tunafunga shule. Nafika home, laini zangu zote blocked.
Hakunipa contacts zake sababu hakua na laini official. Nafungua shule, manzi simuoni! Kufuatilia kumbe alihama shule.
Nikamaliza shule, hadi leo anaishi ndani ya moyo, nishakutana na wengine hapo kati ila pengo lake bado linavuja damu.
Kwao sipajui, najua wilaya tu anakotokea. Simuoni hata social medias, na sijui alihamia shule gani! Hata hivyo atakua ashamaliza.
Asanteni na samahani kwa uzi mrefu ila wenzunu napitia magumu.