Mkiambiwa mke wa mtu sumu nimeamini sumu kweli

LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
4,151
11,200
Jana nimepanda daladala ile kuingia tu nikakaa siti moja na mdada kumbe yeye ananifaham na mimi nilishamsahau, kumbe niliwahi kufanya nae kazi kipindi flani, akaanza kunichangamkia kwa stori mbili tatu, hapo hapo konda kudai nauli nikamlipia na yeye.

Kumbe bwana yule dada siti ya nyuma alikuwa amekaa mumewe na mtoto wao mchanga aloo, ile konda anadai nauli siti ya nyuma mumewe nae akalipa ila konda akamwambia huyo dada hapo mbele kashalipiwa.

Mumewe akawa anawasiwasi kalipiwa kivipi, ile wanashuka yule dada kuniaga mumewe kanikata jicho sio la nchi hii

Na kwa bahati nzuri sikuomba hata namba ya sim sijui ningeomba ingekuwaje aloo, , ila niwasihi tu mkifika mahali mkakuta wanawake wamekaa sehem msome kwanza mazingira wengine huwa wapo karibu na waume zao
 
Mumewe akawa anawasiwasi kalipiwa kivipi, ile wanashuka yule dada kuniaga mumewe kanikata jicho sio la nchi hii
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
Umechukua hatua gani ya kujisahihisha
 
Jana nimepanda daladala ile kuingia tu nikakaa siti moja na mdada kumbe yeye ananifaham na mimi nilishamsahau ,kumbe niliwahi kufanya nae kazi kipindi flani , akaanza kunichangamkia kwa stori mbili tatu , hapo hapo konda kudai nauli nikamlipia na yeye

Kumbe bwana yule dada siti ya nyuma alikuwa amekaa mumewe na Mtoto wao mchanga aloo, ile konda anadai nauli siti ya nyuma mumewe nae akalipa ila konda akamwambia huyo dada hapo mbele kashalipiwa

Mumewe akawa anawasiwasi kalipiwa kivipi, ile wanashuka yule dada kuniaga mumewe kanikata jicho sio la nchi hii
bahati yako nilikustahi tu kwasababu nilikua naenda kanisani na nilikua na watoto....
 
Jana nimepanda daladala ile kuingia tu nikakaa siti moja na mdada kumbe yeye ananifaham na mimi nilishamsahau ,kumbe niliwahi kufanya nae kazi kipindi flani , akaanza kunichangamkia kwa stori mbili tatu , hapo hapo konda kudai nauli nikamlipia na yeye

Kumbe bwana yule dada siti ya nyuma alikuwa amekaa mumewe na Mtoto wao mchanga aloo, ile konda anadai nauli siti ya nyuma mumewe nae akalipa ila konda akamwambia huyo dada hapo mbele kashalipiwa

Mumewe akawa anawasiwasi kalipiwa kivipi, ile wanashuka yule dada kuniaga mumewe kanikata jicho sio la nchi hii
Chunga marinda mkuu 😆 😆
 
Jana nimepanda daladala ile kuingia tu nikakaa siti moja na mdada kumbe yeye ananifaham na mimi nilishamsahau, kumbe niliwahi kufanya nae kazi kipindi flani, akaanza kunichangamkia kwa stori mbili tatu, hapo hapo konda kudai nauli nikamlipia na yeye.

Kumbe bwana yule dada siti ya nyuma alikuwa amekaa mumewe na mtoto wao mchanga aloo, ile konda anadai nauli siti ya nyuma mumewe nae akalipa ila konda akamwambia huyo dada hapo mbele kashalipiwa.

Mumewe akawa anawasiwasi kalipiwa kivipi, ile wanashuka yule dada kuniaga mumewe kanikata jicho sio la nchi hii 😂😂😂
Mkuu umenikumbusha, kuna mdada nilikutana nae hotelini fulani, baada kama mwaka hivi, sasa nilimkuta mapokezi, nikajiongelesha kama anatumia namba ile ile au kaiacha baada ya kuolewa mana nilisikia kaolewa,

Nikajimuongezea msosi alokua anaagiza restaurant, hee kwnda kwenye meza kumbe yupo mume wake,

🙌🙌🙌nilona aibu sana, hadi leo nikikutana na mtu mazingira nisio sure sitaki shobo kabisa
 
Back
Top Bottom