Nilikutana na mke wa jamaa yangu kwenye lift akiwa anatoka hotelini

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,468
23,745
Nlikuwa mkoa fulani kikazi two days ago. Soon baada ya kutoka nchi za watu nikafikia huko. Huwa mara nyingi nafikia hizi Hotels zetu za 3 au 5 Star. Basi nimejiandaa siku hiyo naingia kwenye lift nakutana na mke wa jamaa anarekebisha blauzi.

Amechoka kiasi kwa mwonekano na pembeni kuna jamaa. Nikamsalimia tu habari mnaendeleaje. Akajibu kwa aibu salama. Basi nikashuka haraka nikamwacha.

Leo kanipigia kuniuliza kama nilirudi Dar salama. Nikamjibu tu nashukiru shem nilirudi salama. Nakutakia siku njema. Nadhani ana wasiwasi kuwa naweza mwambia mshkaji. Kumbe mimi hilo wazo halipo hata akinituma nimwambie nitagoma kabisa.
 
Nlikuwa Mkoa flani kikazi two days ago. Soon baada ya kutoka nchi za watu nikafikia huko. Huwa mara nyingi nafikia hizi Hotels zetu za 3 au 5 Star. Bas nimejiandaa siku hiyo naingia kwenye lift nakutana na mke wa jamaa anarekebisha blauzi.

Amechoka kiasi kwa mwonekano. Na pembeni kuna jamaa. Nikamsalimia tu habari mnaendeleaje. Akajibu kwa aibu salama. Basi nikashuka haraka nikamwacha.

Leo kanipigia kuniuliza kama nilirudi Dar salama. Nikamjibu tu nashukiru shem nlirudi salama. Nakutakia siku njema. Nadhani ana wasiwasi kuwa naweza mwambia mshkaji. Kumbe mimi hilo wazo halipo hata akinituma nimwambie nitagoma kabisa.
Sasa unatuambia sisi ili iweje?
 
Cheki ulivyo mnafiki

Hotel gani unweza kulala wee ya nyota tano lbda hzo hoteli zenj za kukaliana

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Nlikuwa Mkoa flani kikazi two days ago. Soon baada ya kutoka nchi za watu nikafikia huko. Huwa mara nyingi nafikia hizi Hotels zetu za 3 au 5 Star. Bas nimejiandaa siku hiyo naingia kwenye lift nakutana na mke wa jamaa anarekebisha blauzi.

Amechoka kiasi kwa mwonekano. Na pembeni kuna jamaa. Nikamsalimia tu habari mnaendeleaje. Akajibu kwa aibu salama. Basi nikashuka haraka nikamwacha.

Leo kanipigia kuniuliza kama nilirudi Dar salama. Nikamjibu tu nashukiru shem nlirudi salama. Nakutakia siku njema. Nadhani ana wasiwasi kuwa naweza mwambia mshkaji. Kumbe mimi hilo wazo halipo hata akinituma nimwambie nitagoma kabisa.
IPO siku utaolewa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Tukiwaambia ndoa ni ugoigoi kwa dunia ya sasa mnakaza fuvu haya sasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom