Mke wa mtu kanidanganya ananitesa

Mzee wa fact

JF-Expert Member
Jul 9, 2012
234
183
Nilianza mahusiano na dada fulani mwenye watoto wawili awali alinambia wameshatengana na mumewe na wanaishi nyumba moja kila mtu na chumba chake na kweli tulikua tukichat mpaka usiku wa manane.

Nimempenda Sana na yeye ameonyesha kunipenda lakini taratibu kadri tunavyoenda muda wa mawasiliano unapungua.

Mara aseme mumewe yupo na hata tukikutana kwa Sasa anakua mtu mwenye wasiwasi mwingi tofauti na awali.

Nahisi mapenzi na mumewe yameanza kurudi inanitesa Sana sababu nilishaanza kuwa na malengo na yeye na nimempenda haswa.

Japo kila nikimwambia anieleze ukweli kama wamerejeana na mumewe anakanusha na kudai moyo wake upo kwangu pale yupoyupo tu.

Ushauri wenu wanajamvi
 
Kunywa Panadol kupooza kichwa then Songa mbele kama injili ya Petro
 
Nilianza mahusiano na dada fulani mwenye watoto wawili awali alinambia wameshatengana na mumewe na wanaishi nyumba moja kila mtu na chumba chake na kweli tulikua tukichat mpaka usiku wa manane.

Nimempenda Sana na yeye ameonyesha kunipenda lakini taratibu kadri tunavyoenda muda wa mawasiliano unapungua.

Mara aseme mumewe yupo na hata tukikutana kwa Sasa anakua mtu mwenye wasiwasi mwingi tofauti na awali.

Nahisi mapenzi na mumewe yameanza kurudi inanitesa Sana sababu nilishaanza kuwa na malengo na yeye na nimempenda haswa.

Japo kila nikimwambia anieleze ukweli kama wamerejeana na mumewe anakanusha na kudai moyo wake upo kwangu pale yupoyupo tu.

Ushauri wenu wanajamvi
Boss.
Ukiuendekeza sana moyo ujue hilo nalo ni tatizo. Moyo usiupe kila unachotaka.
 
Aisee pole sana, nimesoma huu uzi nimesikitika sana, kwa akili hizi na maamuzi unayoyafanya nakushauri ukiwa unavuka barabara hakikisha kuna mtu mzima anayekuongoza na usithubutu kuendesha chombo chochote cha moto ili kuepusha maafa

images - 2023-06-13T225856.148.jpeg
 
Nilianza mahusiano na dada fulani mwenye watoto wawili awali alinambia wameshatengana na mumewe na wanaishi nyumba moja kila mtu na chumba chake na kweli tulikua tukichat mpaka usiku wa manane.

Nimempenda Sana na yeye ameonyesha kunipenda lakini taratibu kadri tunavyoenda muda wa mawasiliano unapungua.

Mara aseme mumewe yupo na hata tukikutana kwa Sasa anakua mtu mwenye wasiwasi mwingi tofauti na awali.

Nahisi mapenzi na mumewe yameanza kurudi inanitesa Sana sababu nilishaanza kuwa na malengo na yeye na nimempenda haswa.

Japo kila nikimwambia anieleze ukweli kama wamerejeana na mumewe anakanusha na kudai moyo wake upo kwangu pale yupoyupo tu.

Ushauri wenu wanajamvi
Hatukushauri sana bali lawama na zodo kibao.

Mimi nakushauri kwamba jitafakari na chukua hatua
 
Nilianza mahusiano na dada fulani mwenye watoto wawili awali alinambia wameshatengana na mumewe na wanaishi nyumba moja kila mtu na chumba chake na kweli tulikua tukichat mpaka usiku wa manane.

Nimempenda Sana na yeye ameonyesha kunipenda lakini taratibu kadri tunavyoenda muda wa mawasiliano unapungua.

Mara aseme mumewe yupo na hata tukikutana kwa Sasa anakua mtu mwenye wasiwasi mwingi tofauti na awali.

Nahisi mapenzi na mumewe yameanza kurudi inanitesa Sana sababu nilishaanza kuwa na malengo na yeye na nimempenda haswa.

Japo kila nikimwambia anieleze ukweli kama wamerejeana na mumewe anakanusha na kudai moyo wake upo kwangu pale yupoyupo tu.

Ushauri wenu wanajamvi

Nunua mafuta tembea nao.
 
Hatulali chumba kimoja, mara tuna kaa mwezi hatujatiana, mara niko naye tu lakini si mpendi. Haya huwa ni maneno ya malaya walio oa au kuolewa ili kuwaingiza kingi wapuuzi kama nyie.

Ogopa tapeli, chukua hatua.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom