Aliyeaga kwenda misa ya kwanza Kristo Mfalme akutwa akizini

Hapo juu rangi nyeusi inaonesha ndicho chanzo cha tatizo, lakini hapo juu kwenye nyekundu sikubaliani, eti sio kosa, au wanaogo[pa kuitunga isije ikawabana wao!!!, nimeibiwa halafu unasema sio kosa, sikuelewi, labda na wewe ndio mchezo wako kuiba vya wenzako,

Sheria za nchi hii haitakuwa si ajabu kusikia aliyefumaniwa akidai fidia kwa kudhalilishwa na kupigwa bila kosa, na mwenye mke ukakuta anawekwa ndani.sio wote wamwitao BWANA wataingia mbinguni.

Bwana mkubwa, ukiibiwa mkeo, damages utakazo pata ni kufungua kesi ya madai (sio jinai) kumdai mwizi wako kiasi fulani cha pesa au chochote tu...na uhakikishe unao uhakika yaani unazo evidence za kutosha, kama utakuwa hauna ushahidi unaoshikika, jamaa akaonekana hana kosa, basi anaweza kusema umemdhalilisha kwasababu hicho unachodai hauna ground yoyote, na anaweza kufungua kesi ya madai vilevile...hapo sasaaaa.....
 
Huo ni unyanyasaji, ukosefu wa maadili, kuchukua sheria mikononi na ukatili wa kiwango cha juu sana.
Alikuwa ana ushahidi gani kama mkewe kamegwa na huyo mbeba mizigo?
Sasa wewe huoni? Amega anaenda kanisani na alipaswa kuwa kanisani, sasa hako kamwanamke (mdogo kiumri sijui ana miaka 14) kwanini kalizimia baada ya kumwona mume wake? Si anajua alichokifanya mwanamke na huyo hawara?

Pia kwa upande mwingine haikuwa vizuri kumpa kipigo huyo hawara. Hapa ni akili tu ya mwanamke sijui ikoje, labda mwanamke ndio ilitakiwa asemelee kwa mumee wake kama kweli jasiri.

Sijui huo umri mdogo wa mwanamke na akili inakuwa ndogo. kwanza hapa ilitakiwa mwanamke ndio apewe kipigo.
 
Back
Top Bottom