Aliyeaga kwenda misa ya kwanza Kristo Mfalme akutwa akizini

sasa Doc naona wewe ndo unanichokoza hapa
ntakuvalia bukta sasa hivi
hahaaaaaaaaaaaaa lol!!!

Uwii usinishushie kichapo! ila usisahau kuvaa kale kadogo ndani ya bukta ......usije leta madhara!
 
hivi huu mji wa Moshi an vitongoji vyake!

MC lema ali rest in peace hapo hapo, kisa mwanamke......

sasa huyu kenda zake gest ku do ze nidiful siku ya ibada akiaga kuwa anaenda kanisani...

Mungu aunusuru isije kuwa kama Sodoma na Gomora manake inaonekana 'dhambi' zake zinaweza kumfikia huko juu aliko...
 
Huo ni unyanyasaji, ukosefu wa maadili, kuchukua sheria mikononi na ukatili wa kiwango cha juu sana.
Alikuwa ana ushahidi gani kama mkewe kamegwa na huyo mbeba mizigo?

Kwa hio mkubwa wewe ukimkuta my wife wako yuko guest na msukuma mikokoteni kwa masaa 2 na rum number umepewa na meseji umeona utasubiri ushahidi gani tena hapo? kwenda hospital kucheki kama jamaa alilala nae?
 
"Huko ndiko mwanamke huyo mdogo kiumri alipokutana na mbeba mizigo huyo na kwenda moja kwa moja chumbani ambako mumewe baada ya kufika hapo na kuulizia alielekezwa namba ya chumba walichokuwa wameingia."

Tatizo la kuoa wanawake wa umri mdogo, Msichana huyu (Nyie mnamwita mwanamke) aliamua kuwa na mpenzi wa pembeni baada ya kungundua hana furaha na ndoa yake - ndoa inakuwa karaha akaona apate mtu wa umri wake wa kumriwaza na kero za ndoa yake na dingi.
Sasa wewe Babu kama hutimizi haki na wajibu wako wa ndoa jee kifanyike kipi?

Mbaya zaidi badala ya Babu kumdhibiti msichana wake, yeye anaamua kumpiga mshikaji hadi karibia kuua, inawezekana kabisa jamaa huyu (Mbeba mizigo) hata hakujua kama ki binti hiki kimeolewa au lah! hakuna ushahidi wowote.

Lakini pamoja na kumegewa Mke wake, bado Lawama nampa huyu Dingi - kutotimiza wajibu wake kwa familia ndiko kumesababisha haya yote. sababu inaonekana ndani ya nyumba kulikuwa hakuna amani - inapelekea mkewe kutafuta mwenzi wa kumriwaza tena mwenye rika kama lake

Fundisho kwa wale wazee wanaotafuta wasichana wadogo kuwaoa sababu ya mihela yao. Jamii lazima ijue kwamba matatizo kama haya yapo mengi tu lakini hayawi addressed. Huwezi furahia maisha ya ndoa kama unaishi utafikiri upo utumwani na tatizo la familia za ki africa moja kwa moja mwanamke ndio anaonekana msaliti na ataitwa majina yote mabaya, na asipopata ushauri mzuri basi ataathirika ki saikologia.

Kuoana isiwe kifungo, lazima kila mtu atimize majukumu yake ya ki ndoa.
 
Huko ndiko mwanamke huyo mdogo kiumri alipokutana na mbeba mizigo huyo na kwenda moja kwa moja chumbani ambako mumewe baada ya kufika hapo na kuulizia alielekezwa namba ya chumba walichokuwa wameingia.

Kaimu Kamanda wa Polisi mkoa , alipoulizwa jana alisema alikuwa hajapata taarifa hizo, lakini ofisa mmoja wa polisi alisema wameamua kuwaachia mwanamke na hawara kwa sababu fumanizi sio kosa la jinai kisheria na kwamba waliwahifadhi pale kwa muda kwa sababu za kiusalama.

Hapo juu rangi nyeusi inaonesha ndicho chanzo cha tatizo, lakini hapo juu kwenye nyekundu sikubaliani, eti sio kosa, au wanaogo[pa kuitunga isije ikawabana wao!!!, nimeibiwa halafu unasema sio kosa, sikuelewi, labda na wewe ndio mchezo wako kuiba vya wenzako,

Sheria za nchi hii haitakuwa si ajabu kusikia aliyefumaniwa akidai fidia kwa kudhalilishwa na kupigwa bila kosa, na mwenye mke ukakuta anawekwa ndani.sio wote wamwitao BWANA wataingia mbinguni.
 
Hii sio haki, si kwamba nashabikia kilichotokea lakini jamaa angekaa akajiuliza kwanza kilichompeleka mke wake huko gesti ni kipi, kama kweli ni ngono basi mume ajiulize ana mapungufu gani hadi mke anachoropoka, kumfukuza huyo wife wala sio solution kwani kama ana mapungufu yake yataendelea kudumu tu, alichokifanya jamaa ni sawa na kukimbia tatizo badala ya kukabiliana nalo.,na huyo wife kama kweli husband wake huwa anamfikisha na bado pepo lake la ngono likamtoa nje ya ndoa basi alaaniwe.
 
mkuu, hapo kwenye red si-komenti!!!!
 
any business is possible!!! walikuwa hawataki watu wajue biashara gani wanafanya apart frm ile ya Kiborloni!!!

tehe tehe!! mzee kaona hela ya mabegi inakata, kumbe mama anafanya biashara ingine.........hivi transactional sex si unato kitumbua unapewa mshiko? sasa ikiwa mtoa kitumbua ndo mtoa pesa inaitwaje?? yani unapewa bidhaa na hela juu!!!
 
Hii sio haki, si kwamba nashabikia kilichotokea lakini jamaa angekaa akajiuliza kwanza kilichompeleka mke wake huko gesti ni kipi, kama kweli ni ngono basi mume ajiulize ana mapungufu gani hadi mke anachoropoka, kumfukuza huyo wife wala sio solution kwani kama ana mapungufu yake yataendelea kudumu tu, alichokifanya jamaa ni sawa na kukimbia tatizo badala ya kukabiliana nalo.,na huyo wife kama kweli husband wake huwa anamfikisha na bado pepo lake la ngono likamtoa nje ya ndoa basi alaaniwe.
Kama hamfikishi si adai taraka atafute wa kumfiksha?
 
No comments! Kwa sababu ingekuwa ni huyo mwanamume mkewe kamfumania na hausi geli angemfanyaje?
Wote tumetenda dhambi na kupungukiwa na utukufu wa Mungu. Tukisema kwamba hatuna dhambi tunajidanganya na ukweli haupo ndani yetu. Toa kwanza Boriti iliyo ndani ya jicho lako ndio utatoa kibanzi kilicho ndani ya jicho la mwenzako.
Mwanamke asipotoa upenyo mwanamume haoni ndani, ndio maana mwanamke ndio wakuadhibiwa? Hivyo housegirl ndio wa kuadhibiwa!
 
Ukiona mke anatembea na shamba boy, mbeba mizigo basi mume hatoi flavour mzuri kwenye tendo la ndoa. Haya ndio yale ya mwachie na mama Lyimo!
 
Kama walikuwa wanaongea Biashara, kwa nn mwanamke apoteze fahamu kwa mstuko.Ushahidi gani tena mnataka?.Si shabikii kujichukulia sheria mkononi.
 
Back
Top Bottom