Aliyeaga kwenda misa ya kwanza Kristo Mfalme akutwa akizini

Mimi walioniacha hoi ni hao Polisi. Yaani Polisi wetu wengi ni bure kabisa; wawezaje kumwachia huyo mwanamume aliyemjeruhi mwenzake wakati amesababisha maumivu makali kwa 'ngoni' wake? Hebu jiulize, huyo "mgoni' akifa itakuwaje wakati Polisi wameshamuachia huyo aliyejeruhi mwenzake.

Yaani Polisi wetu wanongozwa na emotions; ningekuwa mimi ni Polisi pale nisingemuachia huyo mume na mke wake waende maana wana ushahidi gani kuwa yule 'mgoni' alichukua mke wa mtu? YAani mtu anamjeruhi mwenzake vibaya sana halafu anaachiwa! Shame on our Police!
At least wewe tunaongea lugha moja hapa.

Hivi mbeba mizigo wa watu kama alikuwa hajui mama wa watu kaolewa angestahili kupata adhabu hiyo?
Na bado nauliza tena, kuna uthibitisho wowote unaoonyesha kuwa hao watu walimegana?
 
ujanja mwingine wakujifanya unajua siyo mzuri,ingekuwa kwako ungesema hivyo? mkuki kwa nguruwe mtamu kwa binadamu mchungu

ujanja wa kujifanya najua...........well nikuambie, mi siwezi kujifanya hata siku moja!!!

I dont jump into conclusions unless the case is proved beyond mashaka yoyote

labda wanafanya biashara ya unga je??? guest house si lazima wafanye biashara ya ngono tu......
 
Ukali mbona! wewe Mkibosho?
 
Mimi walioniacha hoi ni hao Polisi. Yaani Polisi wetu wengi ni bure kabisa; wawezaje kumwachia huyo mwanamume aliyemjeruhi mwenzake wakati amesababisha maumivu makali kwa 'ngoni' wake? Hebu jiulize, huyo "mgoni' akifa itakuwaje wakati Polisi wameshamuachia huyo aliyejeruhi mwenzake.

Yaani Polisi wetu wanongozwa na emotions; ningekuwa mimi ni Polisi pale nisingemuachia huyo mume na mke wake waende maana wana ushahidi gani kuwa yule 'mgoni' alichukua mke wa mtu? YAani mtu anamjeruhi mwenzake vibaya sana halafu anaachiwa! Shame on our Police!

hiki ndicho ninachokiona mimi pia

kujichukulia sheria mkononi ni makosa, n ambona wamuachie sasa huyo aliyedai kuibiwa mke?
 
ujanja wa kujifanya najua...........well nikuambie, mi siwezi kujifanya hata siku moja!!!

I dont jump into conclusions unless the case is proved beyond mashaka yoyote

labda wanafanya biashara ya unga je??? guest house si lazima wafanye biashara ya ngono tu......
Sijatoka mamushka....

Niko hapa nafuatilia kwa makini. Akikushinda you know how to stuaring me.
 
hahaaaa I knw biggy.....

ila j3 ya leo sijakaa kivle ujue unless someone provokes me!!!!!

nipo kitaaluma zaidi hapa, namshanga jamaa anakuja na mbwembwe kibaooooo!!
 
hiki ndicho ninachokiona mimi pia

kujichukulia sheria mkononi ni makosa, n ambona wamuachie sasa huyo aliyedai kuibiwa mke?

Hivi polisi wenyewe wana uhakika gani kuwa kweli huyo ni mke wa huyo Tyson?
 
ahhaaaa, kumbe si kosa la jinai....I thought ni kosa. Sasa huyo mwanaume aliyefumaniwa akishtaki kuwa ameumizwa kwa kupigwa kwa kufanya tendo ambalo kisheria si kosa la jinai inakuwaje?

TZ in vituko.
 
Nisaidie kumuuliza, manake wengine hata kuuliza hatujui. Tunajua kujibu tu.

tuendeleee biggy......
hiihabari iliniacha kinywa wazi..........yaani baada ya scenes zooooote polisi hawakuona kuwa hao mume na mke watawasaidia wakawaacha.....

sasa nani atathibitisha nani kweli ni mwanandoa wa nani, what if 'kuli' wa kiboroloni alidanganywa na mkiboso kuwa yeye bado singo??
aaah polisi ni polis tu bana............
 
Jamani kama wanatoka kuongea bizness, kwa nini mwanamke yule alianguka? Na kama ni bizness, si angesema napitia kwenye beziness kwanza halafu nod naenda misa ya kwanza !
 
Back
Top Bottom