CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 5,008
- 8,557
Hawa wahamiaji haramu shida sanaKijana mwanaume mzima unajadili watu wanaokupambania uwe na kesho nzuri. Hizo 7k unazopewa wewe za uchawa kuna wenzako hawapati. Mbowe anawatetea muwe huru unaleta mambo ya kike. Hatari sana.