Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ikifikisha hata viewers laki najiua...
itafikisha tu, quality ya picha za video ni nzuri na ali kiba ni maarufu...! Halafu kati ya video zote za ali kiba hii ndo ina picha nzuri kuliko zote zilizopita...ukiongelea matukio ya video na uhusiano wa video ni director/&producer aliekosea au ali kiba hakujieleza vizuri...Ali Kiba ni msanii mkubwa angetakiwa kutuliza kichwa kuifanya hii video watu walikua wanasubiri makubwa zaidi ya hayo..! Msiiponde sana atajichimbia tena halafu itakua kila siku anarudi...Unlike wasanii wengine Ali Kiba ni light Heart hawezi kuvumilia kutokubalika ndomana hua anaamua kukaa kimya...nyi ikubalini halafu mnampa marekbisho madogo madogo...bado tunamuhitaji...Akisimama vizuri tutakua na pakuhemea kimataifa, hapa Weusi pale Kiba halafu na Diamond lazima bongo fleva itatusua
 
mkuu kwani weusi wameingia kwenye anga la kimataifa?
 
video ya kawaida mbona any way quality nzuri ili siyo kinachofanyika mule msiniue nimetubu
 
mkuu kwani weusi wameingia kwenye anga la kimataifa?
ni me foretell ( itakavyokua )...weusi nafikiri kati ya makundi ya kizazi hiki yaliyo sirias jamaa wapo sirias sanaa so incase tukitusua tutakua pazuri ( sina kadi ya uanachama ya weusi yani sio shabiki mnazi wa weusi nimesema kuiwekea point yangu mashiko )
 
itafikisha tu, quality ya picha za video ni nzuri na ali kiba ni maarufu...! Halafu kati ya video zote za ali kiba hii ndo ina picha nzuri kuliko zote zilizopita...ukiongelea matukio ya video na uhusiano wa video ni director/&producer aliekosea au ali kiba hakujieleza vizuri...Ali Kiba ni msanii mkubwa angetakiwa kutuliza kichwa kuifanya hii video watu walikua wanasubiri makubwa zaidi ya hayo..! Msiiponde sana atajichimbia tena halafu itakua kila siku anarudi...Unlike wasanii wengine Ali Kiba ni light Heart hawezi kuvumilia kutokubalika ndomana hua anaamua kukaa kimya...nyi ikubalini halafu mnampa marekbisho madogo madogo...bado tunamuhitaji...Akisimama vizuri tutakua na pakuhemea kimataifa, hapa Weusi pale Kiba halafu na Diamond lazima bongo fleva itatusua

Nimekupenda bureeee kabsaaaa
 
Hahahahaha anaiga godfather ati sababu tandale anafanyaga nae... Hiyo nyimbo haiwezi pata airtime station yeyote nje ya TZ

Wewe kama nani unayesema haiwezi pata air time?unamiliki hata station moja wewe?au hata ndugu yako?
Kwendraaaa,na utasubiri sana.Unadhani Kiba ni huyo mjinga wenu wa tandale aliyetoa audio+video na zote zimekufa ndani ya wiki 1 tu?
 
Quality yake ni super....ila content zero, Kiba ndio sijui kadanganywa na nani kudensi angeachana na ishu za kudensi anatilisha huruma akidensi.....haieleweki heleweki Adam angefanya zaidi ya alichofanya Godfather picha zimeunganishwa kama sio film......yani in short sio kitu Amazing.

But it's Awesome.
 
itafikisha tu, quality ya picha za video ni nzuri na ali kiba ni maarufu...! Halafu kati ya video zote za ali kiba hii ndo ina picha nzuri kuliko zote zilizopita...ukiongelea matukio ya video na uhusiano wa video ni director/&producer aliekosea au ali kiba hakujieleza vizuri...Ali Kiba ni msanii mkubwa angetakiwa kutuliza kichwa kuifanya hii video watu walikua wanasubiri makubwa zaidi ya hayo..! Msiiponde sana atajichimbia tena halafu itakua kila siku anarudi...Unlike wasanii wengine Ali Kiba ni light Heart hawezi kuvumilia kutokubalika ndomana hua anaamua kukaa kimya...nyi ikubalini halafu mnampa marekbisho madogo madogo...bado tunamuhitaji...Akisimama vizuri tutakua na pakuhemea kimataifa, hapa Weusi pale Kiba halafu na Diamond lazima bongo fleva itatusua

kwa style hii inabidi ajipange sana ali kwenye suala la vichupa ni mbovu since day one
 
Ukishangaa ya Video ya Mwana utashangaa ya wavamizi!Realy?!Sasa nashangaa sana,nimeona I'd hata ambazo sikuzitegemea!All in all Kiba katoa video kali sana,sisi mashabiki wake tumeipenda!Sio lazima kila kinachoimbwa kitungiwe story,ni aina ya video,afu,huyo Matola mmemuundia jeshi kabisa?Sikutegemea kama Matola wa JF ni superstar kiasi hiki...moto ndo unawaka leo,na Kiba kasababisha!!
 
Wewe kama nani unayesema haiwezi pata air time?unamiliki hata station moja wewe?au hata ndugu yako?
Kwendraaaa,na utasubiri sana.Unadhani Kiba ni huyo mjinga wenu wa tandale aliyetoa audio+video na zote zimekufa ndani ya wiki 1 tu?

Mtasumbili sana sidhani kama mmepata mlichotegea endeleeni tu mvumilivu hula mbivu
 
Back
Top Bottom