alikiba

  1. Genio the great

    Alikiba kakumbwa na nini mbona naona anajadiliwa sana leo?

    Habari za muda naomba kufahamu kama Kuna mwenye taarifa yoyote inayomuhusu alikiba Nimekuta mahali wamepost tumuombee na kwingine tena hivyohvyo kwa anayefahamu chochote kumuhusu, kuhusu hizi taarifa. Asante.
  2. Mjanja M1

    Alikiba amrushia kijembe Diamond Platinumz

    Baada ya wimbo alioshirikiana na Nandy kushika namba moja Tanzania na kuendelea kumuacha nyuma Diamond kwenye baadhi ya nchi, Alikiba amerusha maneno yanayotafsirika kuwa ni kijembe kwa Diamond Platinumz. Kupitia Instagram Alikiba ame-share wimbo wao unavyotrenda kwenye baadhi ya nchi na...
  3. Mjanja M1

    Master Jay: Diamond hamfikii Alikiba kwenye uimbaji

    Producer wa muziki wa Bongofleva Master Jay, amesema kuwa Diamond hawezi kumfikia Alikiba kwenye uimbaji wa muziki. Akiwa anafanya mahojiano na East Africa Radio Master Jay amesema, “Alikiba ni muimbaji bora na Diamond ni mburudishaji bora. Watu wabishe vile wanataka ila mimi ndio nimeongea...
  4. BARD AI

    Kuna ngoma za 1. Harmonize, Jux & Marioo: 2. Diamond, Barnaba & Jay Melody:na 3. Alikiba, Rayvanny & Mbosso, utasikiliza namba ngapi?

    Mezani kuna 'Playlist' ya Nyota hawa wa Bongo Flava 1. Harmonize, Jux & Marioo 2. Diamond, Barnaba & Jay Melody 3. Alikiba, Rayvanny & Mbosso Utasikiliza kundi namba ngapi?
  5. MSAGA SUMU

    Huku Mtwara msimamo wa watu maarufu uko tofauti kidogo namba 1. Misso Misondo, 2. Harmonize, 3. Chibu, 4. Alikiba

    Aisee hii Tanzania ni kubwa sana, niko Mtwara linapokuja suala la burudani kwa mikoa ya Lindi na Mtwara hamna mtu aneyemfikia Dj Missondo kwa kusepa na kijiji. Huyu jamaa akiwa sehemu anafanya yake hamna msanii yoyote atayethubutu kufanya show, maana itakuwa hasara. Kwa huku Mtwara, msimamo wa...
  6. H

    Alikiba ni mzuri kwenye kuimba ila sio mtumbuizaji mzuri

    Habari Wanajf, Kwakweli nilitegemea wonders kutoka kwa Alikiba kwenye show hii ya Ufunguzi wa Michuano ya African Super League, labda anaweza akaja tofauti kutokana na ukubwa wa event yenyewe, lakini tatizo lake limebakia lile lile sio good performer. Kaimba kichovu sana, hii ndio ilikuwa...
  7. Mhaya

    Alikiba unapaswa kuomba RADHI Wakristo

    Siku za hivi karibuni kumetokea Msiba wa msanii wa kike wa Bongofleva Haitham. Na mazishi hayo yamefanyika jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa na watu mashuhuri na wasanii mbalimbali na mmoja wao akiwa msanii Ali Kiba. Wakati wa mazishi kuna kitendo ambacho kimetokea ambacho kimepeleka Ali Kiba...
  8. Troublemaker

    Kwa shoo ya Alikiba jana, nakubaliana na Zuhura

    Unaingia kwenye show unazurura uwanjani ukivimba kuonyesha ufalme wako. Kwanini usituonyeshe ufalme wako kwenye kazi yako. Mwisho wa siku ikawa ni makelele na uchawa mwingi.. Yaani huyu msanii hata intro tu ya show nayo ni taabu... Sijui ni kujikweza na kiburi tu..
  9. Broadcast

    Diamond Platnumz na Alikiba waanzisha vita ya maneno kwenye mitandao ya kijamii

    Vita ya maneno imezidi kushika kasi kati ya Diamond na Alikiba Cheki hapo chini
  10. Isack120

    Alikiba aendeleza "ligi" na Diamond Platnumz

    Alikiba kuanzisha ukirofi tena na simba kwa kuamua kumjibu kamaifuatavyo baada ya magoma yao kuachiliwa na kuendeleza ushindani wao wa soko la kimziki
  11. carnage21

    Big up kwa SAMAKIBA foundation, Wape tabasamu, saidia wazazi na Mwamnyeto foundation.

    BILA Kujali timu unayoishabikia wala Mchezaji unayemshabikia.....hili SUALA la Wachezaji wanaocheza ndani na wale wanaocheza nje ya Tanzania Kutoa misaada ya kuwagusa Moja kwa Moja jamii inayowazunguka Ni Jambo jema ambalo linapaswa kuungwa mkono na kuigwa wachezaji wengi pamoja na vilabu...
  12. M

    Nani Ameanza kumwandikia nyimbo Alikiba hivi karibuni?

    Ningependa kufahamu anaye mwandikia Ali mashairi siku hizi. Kwani Toka Ngoma ya UTU to the latest songs ie mahaba and on fire it seems mwandishi ni mmoja kabisa. Kusema kweli mashairi ya kwenye hizi nyimbo yamepangiliwa na kupangika kwelikweli. Ndiyo maana nyimbo zake hizi latest vijana...
  13. Its Pancho

    Alikiba sio wa kufa kimziki leo, bado sana

    Wakuu, Alikiba huyu ni mkongwe kama tujuavyo. Kadri muda ulivyosogea watu walitabiri kifo chake cha kimziki, ingawaje wale alioanza nao kuimba wengi wamepotea. Nimesikiliza hizi nyimbo mbili latest; Mahaba na On fire, niseme tu huyu mtu bado sana kupotea, sio leo wala kesho, hii on fire...
  14. W

    Alikiba unakera sana wakati mwingine!

    Umetoa bonge la wimbo, 'Mahaba'. Ni booonge la wimbo, HAKUNA UBISHI. Views zinapanda tu bila kushuka mwezi wa tatu huu sasa. Ingawa shooting si bora (kwa mtazamo wangu lakini watu wameipenda hivyo hivyo). Badala ya kutulia kidogo kwa muda ili utuletee kitu zaidi ya kile au ikishindikana basi...
  15. Yahaya Abdallah Sadallah

    SoC03 Lugha ya Kiswahili katika kanuni ya 'Archemedes'

    Unamkumbuka Mwanafalaki na Mwanahisabati aliyekuwepo zaidi ya miaka elfu mbili na mia mbili iliyopita katika kisiwa cha Sisilia ambacho leo tunaita Italia. Mtaalamu ,huyu alikuwa anaitwa Archmedes mtoto wa Phidias ambaye pia alikuwa Mwanafalaki. Katika kipindi cha uhai wake kabla ya kuja...
  16. W

    Sitaki kuwa mnafiki, kabla ya kuisikia hii 'Mahaba' ya AliKiba nilijua mziki mzuri umeisha

    Kijana ni fundi, nimeacha ubishi......case closed! Nikisema tofauti nafsi yangu itanisuta. 'Asili ya jambo lile, kama chakula lazima nile'....ujumbe umefikishwa kikubwa kabisa hapa, watoto hata wakiwa macho haina shida kwani hawawezi kuelewa chochote kile. Alichokera ni ufupi wa wimbo tu, kwa...
  17. BARD AI

    Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris awataja Harmonize, JUX, Darasa, Zuchu, Alikiba, Mbosso, Jay Melody, Marioo na Platform kwenye Playlist yake

    Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris ametoa Spotify playlits yake ya nyimbo 25 za Wasanii wa Afrika ambazo anazikubali ambayo ameipa jina la “Safari Zangu: Ghana, Tanzania na Zambia”, kama sehemu ya kukuza muziki na kuwapa hamasa zaidi Wasanii wa Afrika wakati huu ambapo anafanya ziara...
  18. Suley2019

    Maajabu: Diamond ausifia na kuupost wimbo wa Alikiba

    Salaam Wakuu, Leo katika pitapita zangu mtandaoni nimekutana kwenye Insta Story ya Diamond amepost wimbo wa Alikiba. Je, uhasama wao umeisha au?
  19. Brother Wako

    I Miss: Alikiba anavyomsaidia Marioo Kulamba matapishi yake

    “The Kid You Know” albamu ipo masikioni mwa mashabiki wa Marioo tangu December 9. Albamu hii yenye nyimbo 17 imepambwa na kolabo 12 za Afrika, miongoni mwa kolabo kubwa zinazopatikana humu ni I Miss. I Miss ni wimbo namba 10 alioshirikishwa King Kiba, Alikiba na Marioo wameutendea haki mdundo...
  20. Amjadey

    Niamini ft. Alikiba - Hamadai - Music Lyrics

    See the video at Niamini ft. Alikiba - Hamadai - Lyrics & Music Video "Hamadai" - Song Lyrics eyyoooo oh beby mwezi hauishi takuvisha pete niaamiiini vicheche sina mpango nao nimeacha mapepe niaamiiini takutunza takupamba umeremete niaamiini me kwako sina ujanja ah mpechempeche niaamiini CHORUS...
Back
Top Bottom