Naombeni mnitumie wimbo wa Mwana Dsm kwa wassap namba +17472024725.
hima jamani, huu wimbo naupenda sana, nimeshindwa kuudownload.
h adi Leo hauna au unataka kutuonesha nawe una watsap tena ya huko Mbele?
hebu cheki YouTube watu wamepachika kitambo
Ukitaka kujua kama King Kiba ni noma, yaani TV ndio zinapiga promo sasa kama zitapiga video ya Mwana kwa mara ya kwanza. Yaani wanajua watu kibao wanasubiri, ndio maana TV nyingine hazitaji muda ili TV zao zitazamwe kesho.
Ova
Kiba ananipa raha jamani!
h adi Leo hauna au unataka kutuonesha nawe una watsap tena ya huko Mbele?
hebu cheki YouTube watu wamepachika kitambo
Nimeona pia!!Hatariiiii sanaaa!am humbled u knw!Nimeona mkuu
The video is awesome!!Yaniiii ni nzuri mnooo...lile dance la Mwana sasa limetendewa haki...wow ngoja niende teyna..
Video mbovu sanaaaa
Hamkosekani
Video mbovu sanaaaa
Niliongea mimi jana wategemee disappointment nikaishia kushambuliwa.
Hakuna connection yeyote kati ya kinachoimbwa na video yenyewe... Zero story line, hawa jamaa wanasifia upuuzi gani sijui
Nimempuuza mkuu. Naona napata shida naye tu. Mwenzake Leo nimefanya kazi nyingi za kutumia akili tupu, halafu tena na yeye analeta tabia zake za Kwa Mfuga Mbwa.
Ova
Quality yake ni super....ila content zero, Kiba ndio sijui kadanganywa na nani kudensi angeachana na ishu za kudensi anatilisha huruma akidensi.....haieleweki heleweki Adam angefanya zaidi ya alichofanya Godfather picha zimeunganishwa kama sio film......yani in short sio kitu Amazing.
iko wapi?hiyo mbona you tube sijaiona