Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 16,942
- 13,032
Sijakupata point yako mkuu..
Wewe ulisema alikua anaimbia viti huko UK wakati jamaa alikua Bulyanhulu.
huoni kama ulipotosha?
Sijakupata point yako mkuu..
Video ya Mwana itapigwa katika muda unaokaribiana katika TV Stations 24 kubwa barani Africa. Kwa East Africa kuna Clouds TV, NTV na Citizen TV ndio zitaipiga video zikiwa ni TV Stations za kwanza then zingine zitaipiga baadaye.
Stations kubwa kama Trace, MTV Base, City Sound, 1 Music, Channel O na nyinginezo kubwa zitakuwa za kwanza kugonga video ya Mwana, kwa taarifa nilizonazo kwa EA video itagongwa kwa muda unaofanana ama kupishana Kidogo sana.
Ni mpangilio wa aina yake kiukweli, nadhani kesho itakuwa kama Sikukuu. Alisema amerejea kwenye kiti chake huku kila Kitu kikiwa ni Next Level.
Ova
Ushabiki pembeni.....tegemeeni disappointment.
Umeanza lini kazi kufikiria kwa niaba yangu?! Anakulipa nani kwa kazi hiyo? Mbona sikuhitaji kwa hiyo kazi ya kufikiria kwa niaba yangu? Mbona unaonekana kama yako yamekushinda?!
Ova
cool dauni,hasira za nini...mzigo utaongea.
Sasa kama unajua mzigo ukishatoka utaongea ilikuwaje ukaanza kujipa kazi ya utabiri hapa kabla mzigo haujatoka?
Hebu jiruhusu kukua, maisha ya kuongea ovyo ovyo hayatoi sifa kwa mhusika yeyote zaidi ya kufanya apuuzwe tu.
Tengeneza mwenyewe hadhi yako, acha ujanja mavi wa kuropoka tu kwa kila mtu. Huwa sivutiwi kabisa kuwa na maongezi na wewe.
Ova
Subiria disappointment, utaki kunya kiazi.
Tatizo mimi nimekuzidi sana, kwa hiyo naona kama unanichosha tu.
Ova
Ashaanza kuugua. Mfumo wa kuiachia tu ushaanza kunyima watu usingizi. King Kiba katisha sana.
Ova
Rohoooo zinawauma sana
Walisema "kama yy king apigwe Nigeria ,Chan O ,MTV na asishutie Tz "
King keshawajibu
Wameanza kusema
"Video aisadiki jina la wimbo "
Walitaka akashutie Tandale!!
King kaifunika hata ile show Zalizalina cjui nan alimshauli atoe video kesho na manjonjo ayaanzie Leo kawazima kabisa
Go kiba
Kile kichwa bhana sio mkia.
Kama ni machungu wayapate tyuuuu leba zipo wataenda kujifungua!
Rohoooo zinawauma sana
Walisema "kama yy king apigwe Nigeria ,Chan O ,MTV na asishutie Tz "
King keshawajibu
Wameanza kusema
"Video aisadiki jina la wimbo "
Walitaka akashutie Tandale!!
King kaifunika hata ile show Zalizalina cjui nan alimshauli atoe video kesho na manjonjo ayaanzie Leo kawazima kabisa
Go kiba
Mlie bati mtoto kama huyo
http://m.youtube.com/watch?v=hT8lfg-3l5U
Bonyeza link kaione video kule kule ili uhesabiwe. Watu wataugua sasa.
Ova