Mathias Byabato
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,020
- 691
Mbumbumbu ni wewe usiyeyajua mapungufu yako!!! kwa chombo kikubwa kama Al-Jazeera kuweka HQ hapa ni costful kutokana na uhaba wa HR kwahiyo hata kama sheria zingekuwa zinaruhusu bado wasingefanya hivyo kwavile wangeingia cost ya kuwa na foreigners wengi. Al-Jazeera utasema sheria haziruhusu; what about mashirika ya UN?! nayo hayaruhusiwi na sheria?! Nitajie ni waandishi wangapi TZ wana shahada za uzamili? Nitajie ni waandishi wangapi watanzania unaweza kuwaita waandishi mbele ya wandishi wa habari duniani? Au kwavile ni Al-Jazeera Kiswahili ndo unazani sifa kuu ni kujua kiswahili?! Bro, pamoja na matusi yako ukweli ndio; TZ kuna uhaba wa wanataaluma ya habari ambao ni competent na professionals! Uandishi wa habari ni zaidi ya sauti mzuri ya kutangaza bro?! Hata kama hutaki, ukweli ndio huo; kwamba wandishi wengi wanatokea DSJ; so usitarajie mtu kama huyo afanye kazi kwenye kituo kikubwa kama Al-Jazeera! najua imekuchoma, lakini ukweli ndio huo!!
Uwezo wako wa kuelewa mambo ya hii fani ni madogo sana mkubwa.
Unweza kunitajia viwango vya elimu vya waandishi kama
Adrew Simon(Mhariri mkuu wa aljazeera afrika na Mohamed adow,Ivon Ndege(Correspondets wa aljazera East afrika?
Acha kuongea utumbo hapa.We unakurupuka na kudai sijui umefanya utafiti kwa niaba ya AJ kumbe ni upupu,hapa JF sisi ni greta thinker siyo utumbo wako huo.jadili hoja watun waelimike siyo kuandika ujinga humu.
Kwa uelewa wako unafikiri kuwa na PHD ya fani fulani ndiyo mafanikio ya fani hiyo,pole sana !!!!!!
Kukuonesha kuwa uwezo wako ni sawa na 0 ebu rudia kusoma baadhi ya post zako za nyuma
‘Dah, basi bana! Nilipomaliza SUA mwaka ule, ofisi niliyoajiriwa nilikutana tulipelekwa na washikaji wawili kutoka UDSM! Sio siri, kv washikaji walitoka UDSM na mimi toka SUA, (na kwa bahati mbaya watu wanaidharau sana SUA), nikajihisi kama jamaa watanifunika vibaya sana!!! my god, hadi pale nilipokuja kuona magamba yao ndipo nikaamini kumbe washikaji kweli wanatoka UDSM!!!!! in short niliwafunika kabisa!!!'-NASDAZ
‘Niki-confirm hii habari, itabidi kesho nifungulie ili nikapige bia pale New Msasani Club karibu na ubalozi wa Marekani! Naomba niongozane na mtu ili nisije nikabwatuka pale!'-NASDAZ
‘Ni NMB hii hii ambayo niliwahi kufanya kazi kama Customer Service Officer 3 years ago( with 4.5 years work experience, na graduate) na kulipwa sh.509,000 (basic) au nyingine?!! '-NASDAZ