Aisee Diamond mbona sasa unaanza kunabong'oa?

Kuna picha ya Afande Sele akiwa ameteremsha suruali ambayo niliiona humu humu. Watuwalicomment kuwa hayo ni madhara ya bangi. Sijui dogo naye anapuliza?
 
DIAMOND.bmp
 
Jamaa alintia wasi wasi baada ya kuona akikata mauno aisee naona nw kaamua tangaza biashara kbsaaa..Anadhan na yy ni Eminem kumbe ni mtoto wa mbagala..aje kushusha hiyo suruali Arusha asikilizie mziki wake
 
mbagala hakunaga mabwabwa he is frm tandale cjui huko...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom