Aisee Diamond mbona sasa unaanza kunabong'oa?

Aisee Diamond mbona sasa unaanza kubong'oa!
Staili zingine za shoo huwaga zinatisha.

dddd.jpg

Upumbavu kabisa, maadili gani hayo, baadaye uje utangaze kugombea ubunge? Mkiambiwa wasanii wa bongo shule yenu ndogo pamoja na upeo wenu wakufikiri ni mfinyu mnakataa! Haya endeleeni!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom