Aisee Dharau Zimezidi (ujobless kazi sana)

Kati ya vitu nilikuwa siwezi nilivyokuwa kwa ndugu ni kukaa ndani tu au kurudi ndani kabla ya sa3 usiku sijui nikwakuwa nilikuwa naenda kazin au vp ingawa pia dharau zilikuwa nyingi nkaamua kuhama now naish mwenyewe nakula kwa akili yangu
 
Aisee Dharau Zimezidi (ujobless kazi sana)

Yaani nimevumilia ila nimeona Leo niandike tu, yaani nipo home Sina kazi na kudharauliwa kumeongezeka

Yaani naambiwa nitenge chakula mezani na mdogo wangu wa kike yupo sebuleni anatazama TV na Hana kazi yoyote, na nimempita mbali tu kiumri.

Natumwa dukani nikanunue kweli vitu vidogo vidogo kama nyanya, vitunguu, mafuta nk na sio vitu vya jumla yaani vidogo vidogo na wadogo zangu wa kike wapo tu wametulia nyumbani,

Na anayonifanyia hayo ni Maza mdogo

Wadau mnanishauri vipi?
Hama hapo kwenu,nenda mbali kasake mabunda Mzee. Kesho utafua nguo za hao watoto,kesho kutwa utawapikia kama sio kupewa mtoto mchanga umbembeleze mpaka alale.
Wakati huo hao madogo wa kike wanaangalia hiyo TV ya mama mdogo wako.

Hama hapo mapema sana,wewe ni mkubwa sasa,umri umeenda. HiP kazi kazi za kitoto ndiyo njia pekee mama mdogo anaitumia kufikisha ujumbe kwako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom