moto ya mbongo
JF-Expert Member
- Sep 9, 2009
- 476
- 326
Bharti Airtel wameamua kurudisha bundle hiyo nzuri kwani walichukua uamuzi mbaya tangu 01 March kuweka bundle mpya za ajabu ajabu kwa kurudisha ni vizuri.Tulishindwa kujiunga na customer care wao hawajui kama kuna mabadiliko na kuna mfumo mpya kama mitandao mingine kwa kujiunga kwa kutumia menu unapiga *154*04# .Hiyo ya Vodacom kwa mb 100 kwa 500/= unajiungaje?Cheka internet zao zipo slow mpaka zinaboa.