Airtel: Kifurushi cha intaneti cha TSHS 2,500/-

kwangu hii bundle haijawahin kataa hata siku moja Screenshot0054.jpg
 
Kwa taarifa nilizozipata hivi punde airtel wamerudisha kifurushi(bundle)cha 400m kwa 2500tsh na vifurushi(bundles) vingine vya zamani naomba kuwakilisha

nijuavyo mimi hii kitu inabagua line.. inategemea kati ya line na line.. hamna cha kusitisha blah blah blah kwamba watagoma nope... line yangu moja kati ya tatu inakubali kuunganisa hata nikae miezi bila kujiunga na ni kwa kutuma neno INTERNET kwnda 15444. nyingine zinagoma zinasema tafadhali piga *154*44# kujiunga ambapo hiyo kitu siipati
 
nakubaliana na wewe mkuu.!
 
hayo ndomajibu sahihi
 
Airtel nimeshatupa line baada ya kupandisha bundles the only reason nilikuwa natumia airtel ni internet yao ilikuwa na speed ya kutosha wakajiona wao ndio wao. and that is gonna be the reason to go back to airtel kama wataweka bundles za bei rahis, Mathalani wanakupatia 1.5 GB kwa sh 15000/= wakati vodacom na zantel kuna 5GB kwa 20000/= Definately I will go for 5GB
 
na bundle ya voda mia mbili usiku imeanza kuwa ya konokono..sijui jam limeongezeka.....???#just thinking
 
i think line za zamani ukituma sms to 15444 inakubali, me nna line mbili ya zamani haijawahi kukataa 400mb, but mpya haijiungi!! 2500 kwa 400mb ipo ila kimya kimya na inakubidi utume sms, kwa menyu inazingua..
 
ukitaka kujua kama zinatofautiana piga customer care.kun aline ukitumia kupiga ukabonyeza sifuli unawapata hapohapo..ila kuna nyingine ukipiga utasubili mpaka kesho
 
Back
Top Bottom