Airtel: Kifurushi cha intaneti cha TSHS 2,500/-

Wadau naomba ufafanuzi wa kifurushi cha MB400 nisawa na tsh 2500!nimeweka hatawikimoja haijaisha naambiwa imekwisha expire,je hii si ya siku 30 tena?
 
swala ni kuwa na mb400 unaweza nunua leo na ikaisha leo kulingana na matumizi yako, sio ila kama matumizi yako ni madogo ndipo itakuwa valid kwa mda huo hadi kufutwa kifurushi hata kama kimebaki.
 
km nimekuelewa vizuri unamaanisha ku expire na sio kuwa umeishiwa bundle hilo litakuwa ni jambo lingine ambalo na mimi nashangaa kwa kuwa bundle ya 2500 inaexpire atfer 30 dayz labda km kuna mabadiliko.lkn umejuaje km imeexpire? msg ipi umetumiwa?
 
Hicho kifurushi kwa pc wanakata mb ile mbaaya.. Hicho kifurushi kinafaa kwenye simu tu..
 
Kuna mzungu anayedai kuwa mtaalamu wa IT (GEEK)kwa zaidi ya miaka 17, this week alipost kt Arusha mailing list findings zake.Na jinsi alivyowakilisha ushahidi wake Aritel na IT guys pale walikubali kuwa ndio hivyo, kasheshe ikaja alipodai malipo yake, na alipotaka ongea na watu ktk mtiririko wa uongozi wakamwambia hawezi pewa emails(utaona jinsi gani watu wa chini wanavyokuwa na woga kiasi cha kushindwa hata kuwakilisha wenyewe malalamiko yao kabla hawajaja shtakiwa na kudaiwa malipo makubwa),wala simu za wakubwa kwa vile hairuhuruhusiwi. Kanunua 3GB ila kitumia 1.02GB hela inaisha.
Anasema alihisi hivyo akaweka special monitoring software na akamonitor na kuthibitisha hilo.ktk Arusha mailing list alisema kuwa angepost ktk Arusha Times this week.Sijui watakuwa tayari kuwalipa wabongo?Ila wengine hawana voucher walizotumia na serikali inaweza isiwe na access kwa database yao yote km jamaa wamejipanga kuwa double system.

Hii si mara ya kwanza hata kwa mimi Kuanzia TTCL,VODA,AIRTEL, etc nimejaribu disable update za anti virus,windows, mozilla, media player etc pamoja na kutodownload email, ktk gmail natumia basic HTML ili pasiwe AJAX activities ila ngoma inakata wese vilevile. So unless mpo ktk promotion ila msiwaamini sana watoa huduma hawa ktk nchi ambayo haina uwezo wa kusimamia na kufuatilia mapato na ulinzi wa mtumiaji.
Hata ktk simu mara kibao voda wanafail kutuma sms ktk number iliyopo hewani wanarudisha failed msg huku wamekata hela, mara nyingi nahesabu muda niliotumia ktk last call na amount of money iliyokatwa. Unakuta umelimwa hel nyingi sana+VAT tofauti na rate halali.Sijui ndio kulipiza promotions zao zinazolenga kukimbizana na mziki w TIGO amabyo ndio imekuwa ikisukuma kupunguza bei za promo kila kukicha?
NASHAURI KUACHANA NA HIVI VIFURUSHI,KM HUHITAJI MOBILITY BORA ULIPIE FLAT RATE HATA KM SPEED NI NDOGO ILA HUNA SHIDA YA KUHOFU KUWA KIFURUSHI KINAYEYEYUKA.speed itakuwa si kihivyo ila ni safe.Ila usipende jua km watabaki na byte kipindi hutumii sana. OTHERWISE nunua software km ya mzungu au uwe na calculator kabla hujaanza surf na ujue ukubwa wa kila page na download bytes zisiishie njiani...Haha
 
Nawashangaa sana Aitel wanaondoa vitu ambavyo ndivyo vilivyotuvuta tujiunge nao. Ile huduma ya free internet usiku ndo iliyokuwa inafunika na kutusahaulisha mitandao mingine..
 
Juzi jumamosi nilipoomba kifurushi cha mb.400 katika huduma ya internet kupitia mtandao wa airtel sikuona kifurushi hicho badala yake nikakuta vifurushi vingine.wenzangu mnaotumia mtandao wa airtel mmebaini hilo? Nawasilisha.
 
Nimejiunga jana, usipite njia ya *154*44#...We andika tu internet tuma kwenda 15444
 
halafu hawa jamaa sijui wakoje maana hiyo internet yao ya 3.75G wanayoipromoti huku dar hakuna kitu maana yake ipo very much selective.mfano ukiwa tegeta huku inakuwa sio HSPA bali ni EDGE na hata network yao ni ya kumulika na tochi,mara ikate kabisa "no service" yani ptuuu!
bora waache kuisifia kuwa ndio the fastest internet hadi wakitengemaa!
 
Back
Top Bottom