Airtel: Kifurushi cha intaneti cha TSHS 2,500/-

ulitaka kuniua manake hii ndo inayookoa jahazi na huu ukata sasa wakiondoa si itakuwa kasheshe? hata hapa jamvii hatutaonekana tena

nadhani wameipeleka kwenye modem zao mpya za 30K siunajua promotion tena..
 
Yaani hawa AIRTEL wanataka kuua mtandao wa internet kwa kuondoa hiki kifurushi nilichokibatiza MKOMBOZI
 
Nifundisheni jinsi ya kujiunga na hyo mb 400...yan unaandika nini kwenye msg...plz specify kidogo.
 
Pia kwa sasa kifurushi hiki kinaisha kwa haraka sana tofauti na pale mwanzoni!
 
yes pia kile cha datawiki...hakipoooo....mie modem yangu ina 15,500...lakini anikataa....nakunielekeza nipige namba *154*44 afu nifuate maelekezo...nifanyeje?
 
Kifurushi cha SIKU walikuwa wakiuza 20MB kwa shilingi 500 sasa wameogeza, wanauza 50MB kwa shilingi 500
 
wamenilamba juzi niliacha mb 280 wakalamba zote, nikawapigia simu haipatikani, wanatusaidia sawa lakini waacheuonevu, najua bila wao jf tutapungua
 
yes pia kile cha datawiki...hakipoooo....mie modem yangu ina 15,500...lakini anikataa....nakunielekeza nipige namba *154*44 afu nifuate maelekezo...nifanyeje?

katika eneo la meseji ktk simu yako andika "internet" kisha tuma kwenda namba 15444.
 
Ilikuwa tarehe 9 mwez wa 4 nilitaarifiwa na airtel kuwa sasa kila mb1 italipiwa sh 150 na huku salio langu likipigwa panga mb 300. Maisha sio mchezo!
 
Mi airtel wananichanganya sasa, hizi bundle zao mpya wameweka MB chache kwa hela nyingi wakidai kwamba zina kasi zaidi. Mbona sioni tofauti yoyote na ile ya 400MB/2500Tsh, au ndo kuibiana kisayansi. Pia wanadai kwenye simu tunaongea kwa Tsh1/sek, ni uongo mtupu, tunalipia zaidi ya Tsh2/sek. Hii mamlaka ya mawasiliano huwa inafuatilia malipo na huduma tunazopewa na haya makampuni ya simu kweli? Au wanakula sahani moja?
 
Back
Top Bottom