Mfupa
Member
- Nov 11, 2011
- 37
- 3
pata bando ya 400m kwa 2500 tu kwa kutuma neno internet kwenda 15444
Ndiyo Nahangaika Nayo Hiyo wanasema Salio langu Halitoshi. I have 2515 Tsh
pata bando ya 400m kwa 2500 tu kwa kutuma neno internet kwenda 15444
Tuma NENO Internet kwenda namba 15444...
Ila inagoma kuangalia salio. I dont know why?