Airtel internet, vipi tena?

PROF. ENG

Senior Member
Nov 15, 2011
122
34
Ni kwamba wamepandisha gharama za Internet au vipi, mbona inaisha haraka hivi. Sisi tuliokuwa tunajikamua na 2500 kwa 400mb si ndio basi tena!!.
 
Wamepandisha gharama mkuu! Mb 400 sasa ni 500 na beijuu kwa buku5.Tazama kwenye menu yao kwa kubofya *154*44# Yani baada ya kuona hivyo hadi nguvu ziliniishia kwani kabando kangu fasta kameisha na natakiwa kuongeza tena 4/05/2012.Mambo sasa magumu!
 
wamepandisha gharama mkuu! Mb 400 sasa ni 500 na beijuu kwa buku5.tazama kwenye menu yao kwa kubofya *154*44# yani baada ya kuona hivyo hadi nguvu ziliniishia kwani kabando kangu fasta kameisha na natakiwa kuongeza tena 4/05/2012.mambo sasa magumu!


pata bando ya 400m kwa 2500 tu kwa kutuma neno internet kwenda 15444
 
airtel wamekuwa mataperi TCRA wana wanawalea jana wamenikata pesa kiajabu na hata speed wanayotangaza saa nyingine haiendani jana wametuma sms ukiongeza buku unapata mara mbili nimeongeza pesa hakuna cha mara mbili wala nini nisaidieni kujua ofisi zinazowalinda walaji nikawashitaki kwa utapeli wao
 
hata modem zao za bure miezi sita ni utapeli mtupu.walaji tuwawekee airtel mgomo
 
Ni kwamba wamepandisha gharama za Internet au vipi, mbona inaisha haraka hivi. Sisi tuliokuwa tunajikamua na 2500 kwa 400mb si ndio basi tena!!.
Hata kwenye simu wanakata kinoma. Mimi nilishawaacha. Sikuhizi situmii line yao.
 
modem za airtel ni kimeo, wizi mtupu; ambae hujanunua, usinunue, tulionunua tupange siku ya maandamano kuzirudisha ofisini kwao.....!!, ndipo haya makampuni yataanza kuwa na adabu kwa wateja.
 
gharama za Zantel zikoje kwani?

Gharama zao ni kama ifuatavyo:

SIKU: 1.Mini(40MB,Tsh.1000)
2.Small(150MB,Tsh.3000)

WIKI: Regular(300MB,Tsh.7000)

Mwezi: 1.Mono(750MB,Tsh.15000)
2.Silver(2GB,Tsh.40000)
3.Gold(5GB,Tsh.90000)
4.Platinum(8GB,Tsh.140000)

Unaruhusiwa ku-subscribe tena muda wowote baada ya kumaliza bundle.
Speed yake ni 3.6mb/s downlink and 1.3mb/s uplink.

Enjoy yourself!
 
Gharama zao ni kama ifuatavyo:

SIKU: 1.Mini(40MB,Tsh.1000)
2.Small(150MB,Tsh.3000)

WIKI: Regular(300MB,Tsh.7000)

Mwezi: 1.Mono(750MB,Tsh.15000)
2.Silver(2GB,Tsh.40000)
3.Gold(5GB,Tsh.90000)
4.Platinum(8GB,Tsh.140000)

Unaruhusiwa ku-subscribe tena muda wowote baada ya kumaliza bundle.
Speed yake ni 3.6mb/s downlink and 1.3mb/s uplink.

Enjoy yourself!

Duh! ebwanaeee! ndio hali ilivyo hivyo.
 
tatizo hawa airtel mfumo wao wa uuzaji wa bundle haujaeleweka kuna bundle za aina mbili ambazo ni;
Time based na volume based bundles kinachotatiza watu wengi ni kwenye volume based hawaonyeshi hizo bundle zinakaa muda gani unaweza nunua leo ikaexpire kesho pia kwenye time based bundles hawanyeshi ni MB au GB ngapi unapewa ukijiunga unakatwa tu hela ya mwezi au wiki bila kujua balance ya mb zako.
Huu ni mkanganyiko kwa wanaojua watusaidie maana haileweki kabisa,km ukijiunga na bundle ya mwezi unakuwa na unlimited download mpk mwezi uishe tujue pia
 
Back
Top Bottom