Aibu kubwa kwa baraza la mitihani(necta)

Muttaline

Member
Apr 21, 2012
80
10
Baada ya wakuu wa shule za kiislamu kumuandikia katibu mkuu-Elimu wakilalamika kwa wanafunzi wao kudhulumiwa somo la Islamic knowledge, NECTA wametoa matokeo mapya wakiwapa haki zao watoto hawa wa kiislam. mfano shule ya UBUNGO ISLAMIC HIGH SCHOO matokeo ya kwanza yalikuwa hivi DIV-I = 1 DIV-II = 11 DIV-III = 54 DIV-IV = 12 FLD = 3 ya sasa ni DIV-I = 4 DIV-II = 24 DIV-III = 47 DIV-IV = 5 FLD = 1. Sasa kwa matokeo haya napata maswali:
1. Haya matokeo kwa nini yaliminywa mwanzo? kuna nini hapa?
2. Hivi kama waliweza kuchakachua somo hili walishindwa kweli kuchakachua na masomo mengine?
3. Hivi NECTA wanaweza kuuambia nini ummah kuuaminisha kama wanatenda uadilifu katika mchakato wa kutangaza matokeo?
4. Hivi Dk Ndalichako na timu yako mnahisi kwa kukubali kutoa matokeo mengine ndo mmemaliza tatizo? me nahisi ndo mmeazisha vita..
5. Nimetoa sample ya shule moja... vipi kwa matokeo ya shule zote za kiislam watoto walikuwa wamedhulumiwa kwa kiasi gani?

NB: napata furaha kwa sababu nauona mwisho wako Ndalichako na timu yako.
 
Kama vile ni udaku, hebu weka chanzo cha hii habari tujue.
 
kimsingi hayamuwezeshi... lakini hapa kuna mambo mengi yamejificha.. unaweza nijibu swali langu la pili apo juu. then rank ya shule kwa ufaulu imeongezeka...
 
sasa si mashehe waliwapa pepa rahisi ili mlazimishe hizo division3 badala ya 4 NECTA WAKASTANDADIZE sasa baada ya kulalama kama kawaida yenu wamewaachia mbaki na udini wenu
 
nina wasisi wasi hujui unachokiongea.. kuna wakati unatakiwa kuthink positive.
 
Namashaka sana kuwa secta hii imevamiwa!Simnasikia lile tangazo lashule janjajanja!
 
hivi hayo matokeo ya islamic knowledge yanamuwezesha kuingia chuo gani?

Vyuo vingi duniani kwa sasa vinajumuisha Islamic Shariah na Law (sheria kama somo moja), pia na Islamic Economics wanafanya somo moja na Economics. Utakuta mwanafunzi mwenye Islamic knowledge ana "edge" kuliko asiyonayo kwa dunia ya sasa. Islamic Banking zinazagaa duniani, hata kwetu zimeingia. Islamic Shariah ndio kama ujuavyo, hata Kenya wana Mahakama ya kadhi, na mwanasheria mwenye zote Shariah na Sheria ana demand kubwa zaidi kama ilivyo kwa economist. Funguka.
 
Mtoa mada nimekomfemu,,,matokeo yamebadilika,,,,shule nayofundisha kulikua na div II tisa,sasa kuna 13,issue ni kwamba hayana tija,ila kuna wakati wapo watu waliwah kutoa maoni juu yanecta'gazet la mwananchi'sasa kwa hili NECTA wanaweza kuwapa sauti wanaowalalamikia,mkumbuke tena hata wazee wa UAMSHO nao walilaumu sana abt NECTA,any way hapa pataleta msuguano sana jaman
 
Sasa nakubali kilio cha Wazanzibari kwa NECTA.

hapa ndo nimesema hapo juu,,,,wazee wa muungano WATAWABEBAJE KWA HILI??????isije ikawa ni kweli huwa wanawachakachulia,,,,naangalia shule yangu nayofundisha kulikua na II 9,leo zipo 13
 
Vyuo vingi duniani kwa sasa vinajumuisha Islamic Shariah na Law (sheria kama somo moja), pia na Islamic Economics wanafanya somo moja na Economics. Utakuta mwanafunzi mwenye Islamic knowledge ana "edge" kuliko asiyonayo kwa dunia ya sasa. Islamic Banking zinazagaa duniani, hata kwetu zimeingia. Islamic Shariah ndio kama ujuavyo, hata Kenya wana Mahakama ya kadhi, na mwanasheria mwenye zote Shariah na Sheria ana demand kubwa zaidi kama ilivyo kwa economist. Funguka.

kweli kabisa,kwa sasa islamic banking inatanuka,,,nilifanya hiyo koz nganz ya certificate,ilikua inatolewa na SUZA hapa dar,jamaa alokua anafundisha ana mastaz yake ameibebea malaysia,na ndo mshauro wa Islamic window hapo NBC,yeye ndo aloi-structure,pia KCB na ndo yeye aloikuwepo kwenye jopo la kuanzisha AMANA BANK,,,,,so kama mtu ana pesa anaweza kwenda kusoma mbele ya safar,,,,juzi nimechungulia mtandao wa chuo fulani huko ulaya nao wanafundijsa islamic banking,nadhan ni uk
 
sasa si mashehe waliwapa pepa rahisi ili mlazimishe hizo division3 badala ya 4 NECTA WAKASTANDADIZE sasa baada ya kulalama kama kawaida yenu wamewaachia mbaki na udini wenu

hakuna cha kupuuza,,,hapa necta wanawajibika mdau......wanawajibika kwa uzembe,,,,,,hakuna cha standardization wala cha uislam,,,,NECTA wamecheza na elim za watu
 
kama ni kweli siwezi kushangaa jambo hili kwani kuna wanafunzi wengi sana wamepata matokeo ya kushtua lkn kwa vile baraza ndo mwamuzi basi wameishia kuumia.mi naamini kabisa kuwa kuna madudu mengi yanafanyika mule ila yanafukiwa kimya kimya bila kujali kuwa wanachezea maisha ya watu.
 
nafurahi baadhi ya wadau wameelewa kitu gani nazungumzia... nafikiri huu ni mwanzo wa mapambano ya kuisaka haki..
 
hawa baraza wanaweza kuwaambia watoto hawa walitumia kigezo kani mtu kapata A wao wanampa D... yaani ni mchezo mchafu
 
Kama vile ni udaku, hebu weka chanzo cha hii habari tujue.
Hata kama kuna ukweli, naweza fanya conclusion kwamba hayo ni matokeo ya kisiasa. Ambayo yametolewa kutokana na agizo la katibu mkuu. Hao wakuu wa shule za kiislamu hawajui utaratibu wa kukata rufaa kama shule zao zimefanya vibaya hata waamue kumwandikia barua katibu mkuu. Bila shaka katibu mkuu amemwagiza Ndalichako alegeze kidogo msimamo ili kuwabeba hawa wasiokuwa na uwezo wa darasani. Kwa imani yangu kama kweli haya matokeo ni halali na si ya kisiasa, basi kutakuwa na madudu makubwa mno hata katika shule nyingine: za serikali, za private na za seminary.
 
HUU MJADALA WA UDINI TU,HAKUNA JIPYA HAPA!HIVI KWA NINI WAISLAMU NI WATU WA KUJIONA 'Superior' KULIKO WAUMINI WA DINI NYINGINE?HIVI HUWA MNAFUNDISHWA CHUKI TU HUKO MISIKITINI?AU MNATAKA KUANZISHA 'jihad'?MMEKUWA WATU WA KULALAMIKA TU KAMA WATOTO WADOGO!
 
Back
Top Bottom