Aibu kubwa kwa baraza la mitihani(necta)

Dhulma hizi zitaisha tu. Madudu yameshaonekana, sasa iliyobaki tudai tume huru ikachunguze huko wizarani. Haya yaliyobainika hivi sasa yanatufanya tuamini kuwa huko wizarani kuna njama za makusudi za kuwadidimiza Waislaam kielimu. Hatukubali.
 
Is there any connection with the thread above. Tafuta njia ya kufikisha ujumbe uliokukandamiza bila sababu za msingi.
Hakuna kitu kama hicho. Ukifuatilia utagundua wakristo hawana sera hiyo. Angalia ukweli wa hoaja yako kwa upande mwingine, nahisi kunakubebana. Mwizi daima huisi kila mtu mwizi

Na ushahidi kauweka halafu unasema ni hoja?
 
Na ushahidi kauweka halafu unasema ni hoja?

ushahidi gani alionao, kwa akili zako unafikiri inawezekana mtu akakaa na kupanga matokeo ya kundi fulani?
Elimu na tathmini ni vitu vinavyofuatiliwa kwa kamakini sana. HUsikurupuke tu.
 
ushahidi gani alionao, kwa akili zako unafikiri inawezekana mtu akakaa na kupanga matokeo ya kundi fulani?
Elimu na tathmini ni vitu vinavyofuatiliwa kwa kamakini sana. HUsikurupuke tu.

Ingekuwa hayajapangwa mbona wameyabadilisha na kusema kuwa walikosea kwenye IT? sasa huyo wa IT akosee ya Waislaam tu? Wacha kutetea maovu na wewe utakuwa ni muovu.
 
Hii ni kashfa kubwa sana kwa NECTA, Jee, Bible studies nayo wameifanyia hivi?

Hatozidishiwa mwenye kudhulumu ila hasara.

Unaweza ukawa na point sehemu fulani lkn comments za kijinga kama hapo kwenye bold zikafanya hata wale wanaotaka kukuunga mkono wasijue nia yako.

Siungi mkono kilichofanywa na NECTA kwani ni dhuluma na ukiukwaji wa haki na kama ni amri yangu, waliohusika sio tu wafukuzwe kazi bali pia wafunguliwe mashitaka mahakani kwani Kugushi ni criminal offense.

Sasa linapokuja suala la kudai haki, jaribu ku-focus kwenye kuipata haki yako na sio kujadili kwa nini mwingine anapata haki yake. Unao ushahidi kuwa aliyefanya hivi alitumwa na KANISA kiasi uhoji kwa nini Bible Studies haijakuwa violated? You are very low and stupid kama NECTA wenyewe
 
You are very high and smart. Malalamiko ya Waislaam huko wizarani hayajaanza leo wala jana, ni kilio cha Waislaam cha muda mrefu, na ukweli ukidhihiri uongo hujitenga.

Na u "high" na u "smart" wako wote unashindwa kuelewa kuwa uli kujuwa kama ni kosa la kiufundi lingekuwa kwa wote na si kwa wadini fulani tu? Kwa wakristo IT asikosee, kwa Waislaam ndio akosee? what a smart way of thinking. I may be stupid but I am not a fool you are Mr. High.
 
Sidhani kama kuna mantiki yeyote kulia udini katika kila jambo linapotokea. NECTA ni wanadamu na wanakosea mara nyingi sana. Kwa wanaokumbuka vizuri matokea ya form four 1998 masomo ya sayansi yalikosewa sana. Binafsi I was a candidate, my chemistry results went from C to A and physics from B to A and I am a christian by the way. Sasa udini uko wapi hapo?

Tukiendekeza hii issue ya udini itakuwa hata mtu ukimkanyaga kwa bahati mbaya utaambiwa udini!
 
Back
Top Bottom