Zimmermann
JF-Expert Member
- Sep 28, 2010
- 2,799
- 1,238
jamaa akili yao ni ya kujitengatenga tu...sasa hizo shule zilizotaifishwa wenye kuzijua watutajie. Na wakristu nao wakidai shule zao zilizotaifishwa hali itakuwaje?mmmh ndugu zetu hawa.! Ngoja tumsikilize JK naye atakuja na upupu gani!SHULE ZILIZOTAIFISHWA BAADA YA UHURU
Waislamu wanaomba shule zao zote zilizotaifishwa baada ya Uhuru zilijeshwe kwao waweze kuziendesha wenyewe kwa kuwa wana nia na uwezo wa kufanya hivyo kwa sasa
MSWAADA WA MAREKEBISHO YA SHERIA YA NDOA NA MIRATHI
Waislam hawategemei kama mswaada huo utapingana na maelekezo ya dini yao katika taratibu za mirathi na wanaomba washirikishwe katika hilo kwa kuwa nao wana taratibu za dini zinazotoa muongozo kuhusu suala zima la Mirathi na NDOA
BEI ZA VYAKULA
Anaipongeza serikali katika kushughulikia na kusimamia vema bei za vyakula wakati wa mwezi mtukufu wa ramadhani
anatoa mkono wa EID
KATIBU MKUU BAKWATA
Suleima LUWINGA