Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 39,997
- Thread starter
- #21
Mkuu Who is Mkereme did you mean AG Werema? Naomba mwongozo!
ndiyo huyo huyo.
Mkuu Who is Mkereme did you mean AG Werema? Naomba mwongozo!
Naangalia kama hawa wasimamizi wa sheria zetu wanajua ni sheria ngapi Rostam amezivunja hadharani hivi karibuni katika suala hili la majadiliano ya Richmond. Najizuia kuanza kuzichambua nikiamini kuwa yawezekana wakuu hawa wanafikiria jinsi gani ya "kumwingia" RA. Vinginevyo, isije kuwa katika shamba hili "wanyama wote wana haki, ila wengine wana haki zaidi"!
de facto[/B] hapa bongo. Mkwere ni de jure ingawa kimwonekano Mkwere ni de facto.]
Wasp it from the above remarks that i salut you. JK mwenyewe anamuogopa RA, actually he knows what RA and Eddy can harm him asipocheza mziki wao. Ila iwe mchiriku, taarab, qaswida, R n B au Bongo Flava there is always a solution. Time will come
Ukweli ndiyo huo. Mkuu amebanwa kwenye kona mbaya. Zamani kwenye hesabu tungesema hivi; RA>EL>JK i.e JK< RA or EL. Labda aamue kujitutumua kama Bingu wa Mutharika!!
Ukweli ndiyo huo. Mkuu amebanwa kwenye kona mbaya. Zamani kwenye hesabu tungesema hivi; RA>EL>JK i.e JK< RA or EL. Labda aamue kujitutumua kama Bingu wa Mutharika!!
DC
RA is on top of everything na untouchable....ukitaka nchi iyumbe msumbue RA! hii hata GT anaijua, TRA walileta kiherere kuweka kufuri mitambo ya Dowans uliza kilichowapata!
DC
RA is on top of everything na untouchable....ukitaka nchi iyumbe msumbue RA! hii hata GT anaijua, TRA walileta kiherere kuweka kufuri mitambo ya Dowans uliza kilichowapata!
Ni kweli ila kinachonisikitisha ni kuwa nchi nzima imekosa hata mtu mmoja wa kusema tumenajisiwa vya kutosha na huyu bwana? Naona sasa atazidi kutufanyia mambo mabaya hadi kwa paka wetu huko nyumbani! Haachi kitu huyu ndugu na tumebaki kumwomba Mungu ashushe gharika. Tutajiokoaje sasa? Kwa sababu sala haziwezi kujibiwa haraka kama tunavyotaka
TRA recodi zao zimepinda wanawezaje kuidai kampuni 9bil. all that time hawakuidai leo wanakuja kutuzuga sisi mimi naona wao ni sehemu ya tatizo pia..DC
RA is on top of everything na untouchable....ukitaka nchi iyumbe msumbue RA! hii hata GT anaijua, TRA walileta kiherere kuweka kufuri mitambo ya Dowans uliza kilichowapata!
"Bado hatujajua tatizo nalo ni CCM" finito..tukianza kuwachagua CCM you better kuliko yule hapo ndipo tutakapo pigwa changa la macho wakati kwenye vikao vyao vya siri wanacheka la kunywa bila taabu..hii ni kusema
JK=EL=RA=6=CCM
Mimi nafikiri mfanyabiashara haibi ila "anafanya negotiations" anayeiba ni anayeuza mali yake? nani alimpa tender RA?(kampuni yake) kwanini alikuwa weak kupata maslahi yake (nchi)??? alipata maslahi gani binafsi?? hayo ndiyo maswali yanayofaa kuwauliza technorat wetu hapo wizara ya madini na nishati???
Wrong argument: anayesajili kampuni feki na kuifanya halali ni nani..kwanini aruhusu hali hiyo hakutumia utaalamu wake ambao analipwa kufanya hiyo kazi na wabongo au ndio hizo PhD feki..wrong concept. mfanyabiashara akiunda kampuni feki na kutoa taarifa za uongo ili kujipatia fedha, huo ni utapeli, wezi na uhuni. Wafanya biashara wanaweza kuwa wezi, majambazi, nk.
TRA recodi zao zimepinda wanawezaje kuidai kampuni 9bil. all that time hawakuidai leo wanakuja kutuzuga sisi mimi naona wao ni sehemu ya tatizo pia..
"Bado hatujajua tatizo nalo ni CCM" finito..tukianza kuwachagua CCM you better kuliko yule hapo ndipo tutakapo pigwa changa la macho wakati kwenye vikao vyao vya siri wanacheka la kunywa bila taabu..hii ni kusema
JK=EL=RA=6=CCM
Hiyo hesabu haiwezi kuwepo kwa sababu logic hazikubali. Kwani kama ni hivyo basi JK angeweza walau siku moja kujitutumua na kuwambia kuwa hakuna mwenye mabega makubwa kumzidi mwenzake na kwa hiyo ubia wetu unategemea concensus. Lakini siyo hivyo. Kwa hiyo hesabu, kesho RA ataita Press conference kukulaani na anaweza kukupeleka mahakamani udai fidia. Umemshusha sana hadhi yake!!
Mwanakijiji, usisumbue sana ubongo wako. Actually RA ndiye President de facto hapa bongo. Mkwere ni de jure ingawa kimwonekano Mkwere ni de facto. Angalia TRA walivyofungua makofuli yao fasta pale Dowans - Ubungo. Bungeni anataka ripoti mpya ya Richmond ifanyiwe uchunguzi na Majaji na sio ripoti feki ya Mwakiembe et al. Where does this kind of arrogance comes from? Definately he is holding the three cards. Mind you he holds a number of passports from different countries (Iran inclusive).
Wrong perspective: Kama kawaida yako thread zako very selective to individual of certain section of group of jamii.kamwe issue ya ufisadi si RA pekee ni issue ya kitaasisi CCM as whole" kwakuwa umeanza na wrong analogy Werema,feleshi vs RA unasahau kwamba wote ni zao la CCM therefore Werema=feleshi=RA. wako pamoja sirini kwenye vikao vya maana siyo press conference.Naangalia kama hawa wasimamizi wa sheria zetu wanajua ni sheria ngapi Rostam amezivunja hadharani hivi karibuni katika suala hili la majadiliano ya Richmond. Najizuia kuanza kuzichambua nikiamini kuwa yawezekana wakuu hawa wanafikiria jinsi gani ya "kumwingia" RA. Vinginevyo, isije kuwa katika shamba hili "wanyama wote wana haki, ila wengine wana haki zaidi"!
Wrong perspective: Kama kawaida yako thread zako very selective to individual of certain section of group of jamii.kamwe issue ya ufisadi si RA pekee ni issue ya kitaasisi CCM as whole" kwakuwa umeanza na wrong analogy Werema,feleshi vs RA unasahau kwamba wote ni zao la CCM therefore Werema=feleshi=RA. wako pamoja sirini kwenye vikao vya maana siyo press conference.
Mzee Mwanakijiji, sisi tunafuata mkondo wa sheria wa Comon law, tumeurithi toka kwa Muingereza, mwenye uwezo wa kutamka kosa, ni mahakatu tuu, pekee. Kazi ya DPP ni kuprosecute akijiridhisha kuna kosa ndipo anafungua mashitaka na mahakama ndio itamke ana kosa.Naangalia kama hawa wasimamizi wa sheria zetu wanajua ni sheria ngapi Rostam amezivunja hadharani!