Bijou
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 1,219
- 335
Knowlegde for what? Elimu si ndio itakufanya uwe na maisha mazuri. Au unapenda kuwa profesa wa sifa. Kalaghabaho, Knowledge sio lazima UDSM hata Modern college inasaidia. Ngojeni mkimaliza mje uraiani na visifa vya mlimani mkipewa kazi mshindwe kufanya.
Wewe ni. Wa Kampala university nini????? Tehe tehe tehe!!!