Yaaaaani kairuki inaishinda muhimbili?, au muhimbili siyo registered/ enlisted?, na SUA je?
hahahahahahahahahahahhahahah you guys mwataka kuprove nn hapa jukwaani???
Na mimi nilikuwa najiuliza swali hilohilo! Bado sijaziamini hizi takwimu mpaka nitakapoona vigezo vilivyopimwa.Mhh...tumevi beat hata vya South Africa?? Wametumia vigezo gani?
siyo kweli hakuna kitu kama hicho naona mkuu unaota mchana kweupe
hiyo source itakuwa inatoka UK au USA maana wanapenda kutumpumbaza kumbe wengine wanapiga hatua kwa kwenda mbele tusilewe sifa tufanyeni research zaidi tutafanikisha sana na sikuja na dhana za uongo kama hizi may be kwa ubora wa ngono sawa