Panga pangua in Africa, University of Capetown is the #1 university in Africa. Ukiona haiko basi hiyo source is bogus!!
Mkuu Sherrif,
Nakubaliana na wewe kuhusu maoni yako juu ya hii rank ya mdau aliyoanzisha thread ina walakin na kwa kuongezea UDSM ni chuo kikuu bora kuliko vyuo vyote vya Afrika Mashariki.