Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 12,998
- 6,659
Hawana lolote walitaka kumuua tuu
"Hili ni tukio la bahati mbaya, jeshi laetu lilipata taarifa za Kiinterejensia juu ya kuwapo kwa majambazi na kuamua kuweka mtego, sasa afisa huyu alifika muda na wakati ambao askari wetu walikuwa eneo hilo na kuingia katika mtego wetu, alikuja na gari ambalo ni sawa na lile ambalo tulielezwa kuwa lingetumika, lakini bahati nzuri mauaji hayakutokea," alifafanua kamanda huyo.
Kamanda Barlow amedai kwamba kutokana na tukio hilo amepanga kukutana na afisa huyo wa uhamiaji na kuzungumza naye akiwa na askari wake kutafuta suluhu ya jambo hilo ambalo aliekeza kwamba yeye anaamini limetokana na bahati mbaya.
Aise mkuu wa uhamiaji peleka swala lako haki za binadamu ungeshuka wangekumaliza kama walivyommaliza Kombe!!
kuanzia sasa,wananchi hatutaki intelijensia tena,maana inamaliza hata wasiohusika,eti intelijensia ilisema jambazi atatumia gari linalofanana na afisa uhamiaji,hahahahahahaha,ili mhalalishe kifo cha afisa uhamiaji,duuuuuuPAMBAF intelijensia!! Intelijensia!! intelijensia ya kuua raia wema tu!! Plain stupidity!! mburuze huyu mpuuzi kwa pilato!! haya majambazi yanayoitwa polisi yatatumaliza. Intelijensia imeua Arusha, imeua Mwanza, imeua Iringa!!
Uzembe wa namna hii haukubaliki na hasa kufanywa na watu tunaoamini ni walinzi wetu! Hakuna cha suluhu hapo bali hatua za kinidhamu lazima zichukuliwe!
....alizidi kufafanua.
Buchafwe alisema amepatwa na mashaka na tukio hilo kutokana na asakri huyo aliyehusika kuwa na mahusiano ya karibu na mkewe ambaye wamekuwa na ugomvi naye pamoja na kesi ya kutalikiana mahakamani na kusema kwamba huenda ahalikuwa la bahati mbaya.
"Nina kesi na mke wangu mahakamani, na afisia huyu wa polisi amekuwa na mahusiano ya karibu na mke wangu huyu ambaye tunashitakiana mahakamani, inanishangaza kwamba mtu ambaye ananifahamu licha ya kujitambulisha bado alikuwa akishilikilia msimamo wa kunitaka kushuka, nadhani hapa kuna jambo zaidi ya hali ilivyo," alieleza.
Aidha akizungumzia tukio hilo ........
hahahaha inteligensia yetu hata FBI NA CIA wanasubiri...yaani ni wa pili kwa upelelezi duniani..hihihihi