Afisa uhamiaji Mwanza anusurika kuuawa kwa risasi na polisi

Safi sana Burlow alichotetea kwa askari wake ndicho kilichompata!! Jina la Mungu ni kubwa sana. Na bado wengi vigongo mpo, mmesikia hayo? Jiandaeni!!!
 
Ukijiona umesimama jua wenzako wanakuona umeanguka! mwz sasa hapatoshi! Laana za wananchi hizi! tumekuwa tukilalamika kila siku juu ya polisi sasa mungu ameanza kupokea malalamiko yetu.
 
Safi sana Burlow alichotetea kwa askari wake ndicho kilichompata!! Jina la Mungu ni kubwa sana. Na bado wengi vigongo mpo, mmesikia hayo? Jiandaeni!!!
Kweli mkuu. Naye alikuta wanaume wameweka mtego, akaingia kwenye mtego akiwa na gari sawa na la yule aliyewekewa mtego. Labda angetumia gari la kazini angetambuliwa na wategaji na mauti yasingemfika.
 
Hii habari inasikitisha sana.RPC alikuwa anamtetea Mkuu wa kituo cha Nyakato,Abubakar Zebo kwa ushenzi alioufanya dhidi ya Bwana Albert Buchafwe,matatizo yote yanatokana na mambo ya mapenzi,na siku chache baadaye RPC huyo anaingia katika mtego huo huo wa mapenzi na kupoteza maisha.Kuna tatizo kubwa katika Jeshi la Polisi,Inabidi Jeshi zima lifanyiwe reform.Askari hawa wamejisahau na kujiona Miungu watu.......wanajichukulia sheria mikonani mwao.Wananchi nao wameliona hilo,wanawaona Polisi ni wabaya,wamesahau kazi yao ya kuwalinda wananchi na mali zao,sasa wao (Polisi) ndio wamekuwa wanyanyasaji wakubwa.Wananchi wamechoka na sasa wameamua kujichukulia sheria mikononi.Hii ni hatari kubwa.Utawala wa sheria umepotea,na kila mtu na lwake sasa!Viongozi wa ngazi za Juu katika Jeshi la Polisi ni lazima Wawajibike kwa Uzembe wa watendaji wao.
 
Back
Top Bottom