Aden Rage aomba radhi; hakujua kama silaha iko kiunoni!

Jamani jamani msikilize aden rage clouds
anaomba radhi ati akujua kama silaha ile iko kiunoni na amekuwa nayo tangu 1996
na hana rekodi yoyote kuhusu silaha ile..anasema anaomba radhi watanzania akidai
akufanya makusdi na hata yeye binafsi alipopanda kwenye jukwaa alishangaa ati mwenyekiti
wa ccm wilaya bw michael akimmfungua shati lake na kulifunika..na kusema baada ya kufanya
siasa zake alimaliza na baya anasema ameshangaa hata wana ccm wenzake akiwemo be michael
akumuweleza kwa nini alimfunga shati lile na yeye kuja kuona silaha ile kwenye mwananchi gazeti

kwaa niaba ya watanzania mnasmaheje jamani??
kweli CCM kiboko...! mtu tangu 1996 mpaka leo unakuwa na bastola halafu mtu mwingine anakuja kukufungua shati na kulifunika halafu wewe hujui kinachoendelea mpaka uone kwenye gazeti! tuone kama sheria itachukua mkondo wake!
 
kama hakujua silaha iko kiunoni basi hastahili kuwa nayo na anyang'anywe kibali mara moja, lakini kama nimeelewa vizuri ni kuwa hakujuwa inaonekana baada ya mtu kuifunua kwahiyo anaomba radhi kwa silaha kuonekana sio kupanda nayo jukwaani au nimeelewa vibaya ?
 
Hahahaha.....Duniani jamani kuna vituko!

Yaani huo ni uchaguzi wa jimbo moja tu, vituko kibao. Kwa kweli mie naungana na Tendwa kama ingewezekana huo uchaguzi ufutwe aisee...yaani wakubwa wana aibika mpaka wanatia huruma jinsi mipango yao inavyowachanganya.

Kutokana na vituko vya Igunga imenibidi leo nirudie kuangalia documentary ya Kuanguka kwa Utawala wa Mobutu huko Zaire, yaani watawala wanajisahau na kuona kila kitu kiko sawa huku wananchi tunawashangaa wao wanafikiri tunawashangilia, kweli ''kifo cha miti nyani wote huteleza'' (sijakosea)

Najaribu kutafakari haya matukio tangu baada ya uchaguzi wa mwaka jana....yani ni full vioja, si bungeni, si kwenye chama, serikalini ndio kabisa....eee Mola tujalie tuumalize huu mwaka kwa amani maana likitoka hili, linakuja lile. Tindikali, dc kabambwa, kibanda kimeungua, picha zimechomwa moto, guest imevamiwa, mtu kafumwa na mke wa mwanachama mwenzake, bastora uwanjani....mwingine kule katimka na sanduku la kura...hahahah, naamini mpaka ijumaa lazima tutapata matukio mengine ya kutosha kufungia wiki!
 
Mkuu, tatizo ni hili..........And they dont see it!!! everybody else do...
ccm%2Bevap.jpg
 
Mkuu, tatizo ni hili..........And they dont see it!!! everybody else do...
ccm%2Bevap.jpg

Hahahaha.....hiyo kali, sema tu Zama za bastora na magamba hazijawekwa kwy hiyo picha.

Atleast leo tumepumzika vituko vya kiwanja cha nyumbani kwa kituko kipya cha Uzinduzi wa kampeni, niliikuta hiyo habari katikati nikajiuliza hivi leo ni Alhamisi au marudio ya Jpili? Kumbe ni live mtu anaomba kura ni si Ze Komedi.
 
hahahahaaa!!!
yule jamaa ni noma bana!!
uliona mchango wa petrol kutoka kwa vijana wa pikipiki kwa ajili ya jenereta??
 
hahahahaaa!!!
yule jamaa ni noma bana!!
uliona mchango wa petrol kutoka kwa vijana wa pikipiki kwa ajili ya jenereta??

Hahahah....ile ni chiboko aiseee, alafu meneja wa kampeni anatoa utangulizi, vinjwaji vipo ila unajinunulia, soda, bia, pia chips zinapatikana...hahahah.....wenzao waliweka masinia ya ubwabwa, kweli Igunga kuna mambo!
.
 
Radio clouds siyo ya taifa hapo apakuwa na ukweli, na kumbuka kosa lililompereka jera alisema akujua kama anagushi list wakati anakuchua pesa.
 
IGNORANCE OF THE LAW IS NO EXCUSE - Ignorantia legis, haud axcutica!!
 
kwanza historia yake siyo nzuri, ni mhalifu aliyekwisha fungwa kwa kula mali ya umma, sijui hiyo historia anayojigamba nayo kuwa ni nzuri ni ipi au anajuwa wote tu mambumbumbu kama alivyo yeye.
 
ccm%2Bevap.jpg
Memo umenichekesha sana na picha hii. so wameanza na mkuki, kisha jembe, wakashika na nyundo kabla ya kugeuka kitimoto na kuanza kuvamia kila palipo na rasilimali zetu. Hatimaye wamegeuka f.i.s. wanaokoteza kila kilichobaki kwa maslahi binafsi.
 
kweli CCM kiboko...! mtu tangu 1996 mpaka leo unakuwa na bastola halafu mtu mwingine anakuja kukufungua shati na kulifunika halafu wewe hujui kinachoendelea mpaka uone kwenye gazeti! tuone kama sheria itachukua mkondo wake!

umeona enhee
 
Huu ni mwaka 2011, miaka 7 tangu Rage apate hiyo bastola, inakuwaje kipindi chote hicho hajawahi kujisahau na kufanya kama alivyofanya huko Igunga? Kwa maoni yangu, Rage ni mshamba hilo moja, lakini kubwa ni kwamba alivaa hiyo bastola kiunoni kwa uwazi kama 'message' kwa CHADEMA baada ya kukamatwa kwa DC Fatuma Kimario. Na message aliyokuwa anataka wana-CHADEMA waipate ni hii - "Touch me at your risk". Hapa Rage alikuwa anataka kuonesha kuwa atakayemkaribia atakwenda na maji! Na kama anakataa kwa nini hakufanya hivyo miaka 7 tangu awe na hiyo bastola?

Kuomba msamaha ni uungwana lakini Rage akae akijua kitendo cha kuwahutubia wakina mama na watoto na wazee wa Igunda huku akiwa amevaa bastola kimetia doa (scar) kwenye reputation yake. Huko mbele akivuruga lazima hili la bastola litaibuka, na kuanzia sasa kauli zake na matendo yake yatakuwa yanaangaliwa kwa jicho lililojaa 'hofu' ya bastola. Hii ndio gharama ya kulewa madaraka na kutosoma alama za nyakati. Kwa miaka ya sasa huwezi kuendesha siasa kwa style ya 1947 watu wanataka kujua kwa nini tunakosa maji hata ya kunywa 2011? Watu wa Igunga wanauliza kwa nini hawana umeme miaka 50 baada ya uhuru? Rage anaona atoe majibu (niseme porojo) kwa msaada wa bastola! very unfortunate and a very stupid mistake on his part and he has to pay for it.
 
Yaani Rage MSOMALI anatufanya sisi Watanzania ni wajinga. Inaingia akilini mtu utoke na silaha halafu useme hujui kama unayo? Alikuwa anamtishia nani? Nimemdharau sana huyu MSOMALI
 
kweli CCM kiboko...! mtu tangu 1996 mpaka leo unakuwa na bastola halafu mtu mwingine anakuja kukufungua shati na kulifunika halafu wewe hujui kinachoendelea mpaka uone kwenye gazeti! tuone kama sheria itachukua mkondo wake!
labda aliyemtengeneza shati angekuwa mkewe ndo 2ngeamini hajui knachoendelea lkn eti m2 aje c mkeo akutengeneze siati na ww ukae unang'aa sharubu 2 bl kuuliza sbb. Asidanganye wa2 bana
 
kwanza historia yake siyo nzuri, ni mhalifu aliyekwisha fungwa kwa kula mali ya umma, sijui hiyo historia anayojigamba nayo kuwa ni nzuri ni ipi au anajuwa wote tu mambumbumbu kama alivyo yeye.

Hivi Rage alitoka jela mwaka gani vile?
 
nasema najua watakaoshindwa kunisamehe lakini nashukuru kwa walionisamehe natumaini wameelewa kosa langu
loh rage -mbunge sijui wa wapi walahi??
 
sijawahi kusikia mtu ana silaha kiunoni halafu ati hakujua kama ipo... duh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom