Aden Rage aomba radhi; hakujua kama silaha iko kiunoni!

kama ni mzembe namna hiyo basi hasthili kumiliki silaha! Anaweza isahau hata chooni
 
Ina maana hiyo bastola ilikuwa na uzito wa karatasi au uzi? Yaani ina maana wakati anafunga mkanda wa suruali yake hakutambua kuwa kulikuwa na silaha? Yaani jitu zima bado linadanganya tu. Kuna siku moja atajinyea kwenye suruali, watu watamkimbia kwa harufu halafu yeye atadai kuwa hakujua kama amekunya kwa sababu hakusikia harufu au uzito wa mavi yake.
 
Duh: Hiyo kali kweli kweli. Mi simo....
 
huyu hata akiua kwa mtindo huu atajua kama ameua? Hivi hata wakati anamuombea dalaly kura alijua anachofanya? Unless imeripotiwa vibaya, huyu mtu ni hatari kukaa na silaha, si bastola tu hata jambia!
 
Kama ndiyo hivyo atatembea hata na kinyesi kwenye suruali aseme alijisahau km kajinyea....hivi kweli tunajua maana ya kumiliki silaha?acheni kutuhadaa jamani
 
Mimi nshamsamehe siku nyingi mana nilijua tu kuwa ni usharobaro wakijinga na hajui alitendalo. Tatizo sheria zetu ndo sijui kama zinaruhusu huo utaratibu mpya aliouanzisha huyu Mhe.
 
2009 - mke katumwa kwa mkulu. Na chaajabu aligombania ubunge na kashinda.Have often wondered if exconvicts are eligible to contest ubunge.

Vipi ile sheria ya uchaguzi Kama mtu aliwahi kukutwa na hatia na akatumikia kifungo anaruhusiwa kushika nafasi yeyote ya uongozi iwe ni kwa kuchaguliwa au kuteuliwa?
 
huyu hata akiua kwa mtindo huu atajua kama ameua? Hivi hata wakati anamuombea dalaly kura alijua anachofanya? Unless imeripotiwa vibaya, huyu mtu ni hatari kukaa na silaha, si bastola tu hata jambia!

Kama ni kweli kasema amesahau kuwa alikuwa na silaha basi nategemea jeshi la polisi limnyang'anye haraka sana maana anahatarisha usalama wa raia wasio na hatia. Hivi angetokea mwenda wazimu akaichukuwa na akawageukia wananchi aliokuwa anawahutubia ingekuwaje? Hili jambo si la kuangaliwa kwa mzaha maana kimsingi ananchosema Rage ni kwamba hana 'fahamu'!
 
ndo tatizo la serikali ya kishikaji, sheria hazifuatwi, mfano ni pale '' just kidding'' JK alipoamua kuwasamehe wale washikaji wake walioiba fedha ya umma toka kwenye akaunti ya EPA bot, kinyume na masharti ya msamaha wa RAIS, katiba inasema rais anaweza kusamehe mtu aliyehukumiwa na mahakama na si zaidi ya hapo. kama jk alivyotoa msamaha bila watuhumiwa kufikishwa mahakamani tutarajie rage pia serikali itamsamehe bila kumfikisha mahakamani.
 
mkuu, adanganywe aje a2onyeshe wa2 wa mjini moshi, aone,

moshiiii..??
Mtalionea uruma kulichafua jiji....aje arachuga uku na cha moto chake ndo atajua kama ki pisto co silaha nzito vitani...
Manina zake
 
ndo maana magamba manasahau watu waoo! yaan rage ktendo cha kutoka nyumban mpaka kwenye kampen kasahau kuwa ana bastora kiunon je? atawezaje kuwakumbuka wananch wake jimboni kwa miaka mi5!?
 
Huyu Rage anaonekana ni kilaza tena bongolala kabisa pumbavu, anaongea maneno gani ya kitwahuti?
 
Msamaha wake mi naona akubali sheria ichukue mkondo halafu akanyee debe akisharudi ndo aombe samahani
 
Kama ni kweli kasema amesahau kuwa alikuwa na silaha basi nategemea jeshi la polisi limnyang'anye haraka sana maana anahatarisha usalama wa raia wasio na hatia. Hivi angetokea mwenda wazimu akaichukuwa na akawageukia wananchi aliokuwa anawahutubia ingekuwaje? Hili jambo si la kuangaliwa kwa mzaha maana kimsingi ananchosema Rage ni kwamba hana 'fahamu'!

Mkuu tuseme ndio yamemkuta yale yaliyomkuta Mwinyi na waislam kuhusu condom, ingekuwaje. Huyu anastahili adhabu ili iwe fundisho kwa watu wengine.
 
Siku moja atamgonga mtu na gari, then atasema hakujuwa kama alikuwa anaendesha gari.!
 
Jamani jamani msikilize aden rage clouds
anaomba radhi ati akujua kama silaha ile iko kiunoni na amekuwa nayo tangu 1996
na hana rekodi yoyote kuhusu silaha ile..anasema anaomba radhi watanzania akidai
akufanya makusdi na hata yeye binafsi alipopanda kwenye jukwaa alishangaa ati mwenyekiti
wa ccm wilaya bw michael akimmfungua shati lake na kulifunika..na kusema baada ya kufanya
siasa zake alimaliza na baya anasema ameshangaa hata wana ccm wenzake akiwemo be michael
akumuweleza kwa nini alimfunga shati lile na yeye kuja kuona silaha ile kwenye mwananchi gazeti

kwaa niaba ya watanzania mnasmaheje jamani??
Huyu rage anatutania.
rage.jpg
 
Matusi mengine kwa kweli yanakejeli uwezo wa watu kufikiria. Si angesema tu kuwa yule kwenye picha siyo yeye?
 
Chizi huyu yaani anaruka mkojo na kukanyaga mavi. Ni vile tu upande wao sheria zetu wana-ubia nazo. Sheria ya msumemo haiwezi kumruhudu mtu kama huyu akatamka upuuzi huo!
 
Hiyo pisto ilifuata nini Igunga? kwa kumuogopa nani?
Nikweli hujui sheria zetu za Tanzania?

Je jumla mna silaha ngapi huko?

Nitoe wasi wasi kaka!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom