Addicted to "Bar Maids"

There is no 'an' addiction, an only used for visible, tangible, or countable single thing, addiction is abstract noun, it's unreasonable where u placed it. Back to topic: Bar maids hawamfuati mwanaume but wanaume ndio wanawafuata, so hata 1000 ukitaka utawapata, so is man himself alivyo jiweka ktk akili yake, bar maids ni cha wote, period

Mr President,

hapo bold ndipo ninapojiuliza why? Unadhani urahisi wao ndiyo kivutio chao? Mimi hapa ofisini kwangu msichana akinizoe zoe bila mpango nampiga ban! Lakini a few hours later unanikuta nakunywa Serengeti Baridi pembeni yupo Amina - Hongera Baa au Corner baa pembeni yupo Ashura.. Naweza kunywa hata bia kumi na kuondoka saa sita usiku bila hata ya kuwazia ku-do naye! why?
 
hivi mtu unakutanaje na mtu cku hiyo hiyo na kulala na kuduu nae cku hiyo hiyo, yaani hamna kinyaa kabisa.

Nyamayao: That is 1mil dollars question!

Umepunguza maneno: Ungeandika hivi:-

Unaonana naye siku hiyo, Unamnunulia Bia siku hiyo hiyo, Unamnunulia mlo siku hiyo hiyo, Mnakubaliana siku hiyo hiyo, Mna-do siku hiyo hiyo, Unamlipia kodi ya nyumba siku hiyo hiyo, na bili za maji, umeme, taka, e.t.c siku hiyo hiyo, ... yes siku hiyo hiyo!

These ladies are "special"!
 
Pale Fairway nilipita juzi nikitoka site....wameleta kapya keupee....jizee moja liko NBC na miwani mikubwa lilikuwa nae buzy hadi saa tano naondoka bado lipo nae

Mkuu,

Kale kapya kanaitwa Nuriati aka Nuru - namba yake nimeshaisevu kwenye phone book!
 
Hapo aongea lugha moja sasa hapana achia kikojoleo cha bibi kwa kila mtu,kama apiga hadithi tu haya lakini afungua zipu mjukuu akataa SAWA BABU.
Sasa hadithi hadithi si yaweza kuweka mambo bam bam?...... mara moya hapana mbaya bana
 
Yani acha .......mi nikiutazama mpango wa shughuli nzima mtu ajitokee tu huko hakyanani huwa nakusanya vinyaa vyote halafu napiga lapa huwa sielewi wanawezaje?

au wanafanyaga ki juu juu tu jamani sio kama mpango wa permanento? yaani wacha tu, wanapataga hata nafac ya kujiweka safi hawa?
 
Nyamayao: That is 1mil dollars question!

Umepunguza maneno: Ungeandika hivi:-

Unaonana naye siku hiyo, Unamnunulia Bia siku hiyo hiyo, Unamnunulia mlo siku hiyo hiyo, Mnakubaliana siku hiyo hiyo, Mna-do siku hiyo hiyo, Unamlipia kodi ya nyumba siku hiyo hiyo, na bili za maji, umeme, taka, e.t.c siku hiyo hiyo, ... yes siku hiyo hiyo!

These ladies are "special"!

very very special!
 
au wanafanyaga ki juu juu tu jamani sio kama mpango wa permanento? yaani wacha tu, wanapataga hata nafac ya kujiweka safi hawa?
Wako profesheno...ni wasafi huwezi amini!........Kama kale ka Ashura ka Nyamachabes.......we acha tu!
 
Wako profesheno...ni wasafi huwezi amini!........Kama kale ka Ashura ka Nyamachabes.......we acha tu!

Hawana makuu......hawa wa maofisini mara BLACKBERRY yangu....mara OPA yangu....mara lunch FAIRY DELIGHTS....sio wale...simu zao chinese...usafiri mwaibula....lunch chips dume........... na bado full smile
 
Hawa wako tofauti wakitazama tu chupi zinabana basi na akili zao zinapotelea humo humo,wakati sie wengine mamito mpaka ukonnect dots ndo unalowa labda kwa wale wachache waliobarikiwa.

au wanafanyaga ki juu juu tu jamani sio kama mpango wa permanento? yaani wacha tu, wanapataga hata nafac ya kujiweka safi hawa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom