Addicted to "Bar Maids"

kuna kiwanja kipya hapo sinza kinaitwa denfrance! ngoja nikacheki contena lake likoje..
 
Uzuri wa baamedi hawana wivu.Unamkamata leo unamega........... kesho unamgawia rafiki yako..........Anamega.......... Nawe ukimkuta na jamaa yake, anakuunganishia kwa rafiki yake......unamega.....Mkikutana tena mnamegana............Maisha yanasonga mbele!Akikuona na wife wako anauchuna kama hakujui!
....hapa mpwa umemaliza kila kitu...!
 
Walaji wana kazi.....kuwasubiri hadi wamalize kazi saa saba
Hiyo inategemea Bar na Bar au Meneja na Meneja........... Pale Tip Top....Savannah, ukimwachia meneja buku tatu unaondoka na Baamedi wakati wowote unaoutaka!
 
If you have an addiction keep it going or go to rehab (to your wife that is).
There is no 'an' addiction, an only used for visible, tangible, or countable single thing, addiction is abstract noun, it's unreasonable where u placed it. Back to topic: Bar maids hawamfuati mwanaume but wanaume ndio wanawafuata, so hata 1000 ukitaka utawapata, so is man himself alivyo jiweka ktk akili yake, bar maids ni cha wote, period
 
Mimi ni mtu mzima kiasi, nimeonja joto ya jiwe ya akina dada nitokapo huko kanda ya Ziwa nikiwa katika umri mdogo. Haikuwa rahisi kumpata msichana wa 'kaskazini' kwa muda niutakao, ilikuwa inachukua mwaka mmoja hadi miwili hata zaidi ndipo binti aniruhusu angalau kwenda naye porini ambako nako ilikuwa shughuli pevu hadi ngwara itumike ndipo pentagon ifikiwe; du kilikuwa kipindi cha shida sana katika mahusiano ya kimapenzi.

Inafurahisha siku hizi nikienda bar na kuona kimwana cha uhakika ambacho macho yangu yapendezwa, hakuna siri tunaongea wazi wazi tena na kiwango cha fedha kinachohitajika, nikiridhia siku hiyo hiyo na wakati mwingine hata muda huo huo bila kuzungushwa kwa muda mrefu mambo yanatiki. Hali hii inatoa fursa kwangu kuutendea haki moyo wangu na kisha kuendelea na shughuli nyingine za kimaendeleo badala ya kuendelea kufuatilia kwa muda mrefu kama ilivyokuwa huko nyuma.

Nahitimisha kwamba bar maids wametufaa sana na waendelee na ukarimu huo, tunawapenda na tutaendelea kushirikiana nao.
 
hivi mtu unakutanaje na mtu cku hiyo hiyo na kulala na kuduu nae cku hiyo hiyo, yaani hamna kinyaa kabisa.
 
hivi mtu unakutanaje na mtu cku hiyo hiyo na kulala na kuduu nae cku hiyo hiyo, yaani hamna kinyaa kabisa.

Kinyaa kwa kuwa umekutana naye siku hiyo? mimi napata kinyaa nikizidi kumzoe tena hamu inapungua kabisa, vitu vipya ni vitamu zaidi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom