Baba_Enock
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 7,076
- 2,445
They are all over!
Mkuu what are u trying to say..'Bar maids are all over or Addicted to Bar maids are all over?? msaada pls.
Bar Maids ni muhimu sana katika maisha ya wanaume walio wengi! Na honestly wanaume walio wengi wanafahamiana na Bar Maids wengi kuliko wanawake walio kwenye "proffessions" nyingine..
Kwenye phone book yangu kuna namba za Bar Maids zipatazo 40..
I'm just wondering if this is "Addiction" or what?
They are all over!
Kama na ya Josephine unayo, futa.Bar Maids ni muhimu sana katika maisha ya wanaume walio wengi! Na honestly wanaume walio wengi wanafahamiana na Bar Maids wengi kuliko wanawake walio kwenye "proffessions" nyingine..
Kwenye phone book yangu kuna namba za Bar Maids zipatazo 40..
I'm just wondering if this is "Addiction" or what?
Bar Maids ni muhimu sana katika maisha ya wanaume walio wengi! Na honestly wanaume walio wengi wanafahamiana na Bar Maids wengi kuliko wanawake walio kwenye "proffessions" nyingine..
Kwenye phone book yangu kuna namba za Bar Maids zipatazo 40..
I'm just wondering if this is "Addiction" or what?
Hivi kwa nini bar mpya inajaza sana kuliko ya zamani?
Je ni kweli watu wanapitia kuangalia usajili mpya?
Au maswala ya jiko nako kupima supu inachakachuliwa au lah?
They are all over!
If you have an addiction keep it going or go to rehab (to your wife that is).
Bar Maids ni muhimu sana katika maisha ya wanaume walio wengi! Na honestly wanaume walio wengi wanafahamiana na Bar Maids wengi kuliko wanawake walio kwenye "proffessions" nyingine..
Kwenye phone book yangu kuna namba za Bar Maids zipatazo 40..
I'm just wondering if this is "Addiction" or what?
Hongera baba enock kwa kupata mtoto mpya!
haya bana.....!
halafu siku hizi unakunywa bar gani?maanake hatuonani kuanzia kwa m-masi,all the way hadi kibila haupatikani