Suluhisho la Kupenda sana ngono (Addiction)

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,305
Habari zenu Wakuu,

Nimefanya kautafiti na nimegundua kuwa, sababu ya kupenda sana ngono huchangiwa na Kuangalia video za Porno.

Unapoangalia Video hizo ubongo wako huwa unatoa vichocheo na kupelekea mwili wako kutamani kulifanya tendo hilo.

Kama unajihisi una Uraibu wa kufanya ngono (Addiction) na unataka kuacha, basi nakushauri uachane na kuangalia Video, picha, majarida n.k yanayohusiana na Ngono.

Asante.
 
Mzee JobTrueTrue si umesema umefanya utafiti?? Means imeangaliwa xvideos Sasa una tofauti gani na wapenda ngono??

NB; Just asking mkuu
Siangalii Picha hizo. Utafiti nimeufanya ili niwaokoe vijana wenzangu na uraibu wa Ngono Mkuu.

Kuna madhara mengi sana ya kuangalia Video za Ngono.
1) Kupungua kwa Hormone ya Testosterone
2) Kupoteza pesa ili kupata ngono mara kwa mara (Addiction).
3) Magonjwa
4) Kurudi nyuma kimaendeleo
5) Kufanya ngono kwa Mpalange n.k

KATAA PICHA ZA NGONO
 
Sawasawa mkuu wataacha
 
Mkuu sio kwel kuna mzee ana 90 anazipiga kama kachanganyikiwa.
Huyo Mzee atakuwa analiwa vihela vyake vya pension tu, maana sisi Wazee mara nyingi ukipambana sana kwa mwezi mara 1 tena ka-round kamoja

Mwambieni aache hiyo tabia mara moja kabla hajakutana na Wanawake mafundi ambao wakimfinyia kwa ndani ndiyo presha na kisukari kinapanda na ndiyo kifo chake 😜🤗
 
Hali inachangiwa na maumbile ya mwili kutokana na vichocheo.kama vichocheo vyako vinazalishwa zaidi mwili lazima uwe na hiyo hali.Hivyo vichocheo vinatofautiana kati ya mtu na mtu au vyakula,mazingira na umri.kama una vichocheo vichache ata uangalie video zote duniani bado haziwezi kukufanya uwe addicted..video zinawasaidia wale wenye vichocheo vya chini ili kuvuta hisia ila sio zikufanye uwe addicted.Kwasababu ukiuzoesha ubongo kuamsha hisia kwa video itafika mahal hutapata hisia hadi uziamshe.Cha msingi ni kwamba sio lazima ufanye kila mwili unavyokutaka ufanye.
 
Huyo Mzee atakuwa analiwa vihela vyake vya pension tu, maana sisi Wazee mara nyingi ukipambana sana kwa mwezi mara 1 tena ka-round kamoja

Mwambieni aache hiyo tabia mara moja kabla hajakutana na Wanawake mafundi ambao wakimfinyia kwa ndani ndiyo presha na kisukari kinapanda na ndiyo kifo chake
mkuu Kuna wazee wengine ni noma ana 60+ ila mkewe ana mimba na ana mtoto anasoma nursery. Means bado anapiga kazi kazi
 
mkuu Kuna wazee wengine ni noma ana 60+ ila mkewe ana mimba na ana mtoto anasoma nursery. Means bado anapiga kazi kazi
Ni kweli wapo Wazee wachache wa hivyo mfano hayati Mzee Mengi.

Nadhani aliwapata wale mapacha akiwa tayari above 65

Ila kwa sisi "Kajamba nani" usijaribu kuzaa uzeeni kwani utafanya uwape mizigo ya kulea ndugu na jamaa maana umri wa miaka 60+ ndiyo umri ambao wengi hufariki Dunia.
 
Hali inachangiwa na maumbile ya mwili kutokana na vichocheo.kama vichocheo vyako vinazalishwa zaidi mwili lazima uwe na hiyo hali.Hivyo vichocheo vinatofautiana kati ya mtu na mtu au vyakula,mazingira na umri.kama una vichocheo vichache ata uangalie video zote duniani bado haziwezi kukufanya uwe addicted..video zinawasaidia wale wenye vichocheo vya chini ili kuvuta hisia ila sio zikufanye uwe addicted.Kwasababu ukiuzoesha ubongo kuamsha hisia kwa video itafika mahal hutapata hisia hadi uziamshe.Cha msingi ni kwamba sio lazima ufanye kila mwili unavyokutaka ufanye.
Sijaelewa Mkuu, unapinga kuwa picha za ngono zinafanya mtu awe Addicted au lah?
 
Back
Top Bottom