Addicted to "Bar Maids"

Jamani tuendelee kuwapa posho ya shukrani mabarmaids waandamizi hata kama hatuwatumii tena maana wana mchango wa kulea usajili mpya kama hapa Sunset Dodoma naona wengine wapo toka 2006.
 
Nyamayao - but why? Sidhani kama ni uzinzi - there is something more than that! Watu wanakimbiza magari kutoka maofisini katikati ya mji na break ya kwanza ni LAZIMA mojawapo kati ya sehemu zifuatazo:-

- Rose Garden
- Hongera Baa
- Meeda Bar
- Maryland
- Play Time
- Calabash
- The River Between
- Future Resort
- Stela Matutina
- Costi
= = = = = = = = =
- Tegeta Resort
- Madrid
- PK
- Uptodate
- BM
- By Night
- Why Not
- Zero
- KM
- Vero In
- Family Bar
- Zanzibar
- Fairway
- Nyamachabes
- Sugar Bay
- FyaTanga
- Etienes
- King Star
- Deca In
- Reina Park
- Oceanic
- Sia
- Santori
- Kibira
- Julevu
- Vigae/e.t.c

Why don't they go straight home? Just a Beer or there is also an hidden role played by Bar Maids?

Mkuu,
Kuna ile mpya inaitwa THE RUNWAY pale Shoppers juu kabisa.......
 
They are all over!

Mkuu huyu sio Enock kweli?

Laga.JPG
 
Bar Maids ni muhimu sana katika maisha ya wanaume walio wengi! Na honestly wanaume walio wengi wanafahamiana na Bar Maids wengi kuliko wanawake walio kwenye "proffessions" nyingine..

Kwenye phone book yangu kuna namba za Bar Maids zipatazo 40..

I'm just wondering if this is "Addiction" or what?

hahahaha mkuu umenichekesha sana hongera zako ila na fikiri ni wale wa bar za aina ya kempiski
 
Kwa kukonkludi:

Mabaamedi ni wazuri
Mabaamedi si wasumbufu
Mabaamedi hawana wivu wa kijinga
Mabaamedi wako salama zaidi (kinga kwao ni a MUST)
Mabaamedi hawana gharama kubwa....bia tatu, nyama choma na buku tano/kumi ya kumtoa mkataba umeisha...hawahitaji kupelekwa hotelini...gesti bubu au hata kwenye room zao wao hawana noma....
 
Kwa kukonkludi:

Mabaamedi ni wazuri
Mabaamedi si wasumbufu
Mabaamedi hawana wivu wa kijinga
Mabaamedi wako salama zaidi (kinga kwao ni a MUST)
Mabaamedi hawana gharama kubwa....bia tatu, nyama choma na buku tano/kumi ya kumtoa mkataba umeisha...hawahitaji kupelekwa hotelini...gesti bubu au hata kwenye room zao wao hawana noma....


Babu amelewa ugoro


 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom