Member hv kuna tofauti yoyote kati ya driver na program?
Ndani ya dk kama 15 umeazisha thread kama tatu. Usipaniki dili na tatiz moja kwanza. Unaweza kutatua moja mengine yakaisha. Inawezekaanaa kuna kitu umeisnatall kwenye mashine yako kimevuruga registry. Fanya system resotore soma hapa kufuata maeleezo.http://www.computerhope.com/issues/ch000589.htmAdapter problem the driver is not installed! Driver ya kudownload inataka cd. Wadau comp yangu inawaka na kuzima kwa staili nyingine!
Driver ni program inayofanya hardware fulani itambulike na ifanye vizuri kazi na OS. . So ukiongolea driver kuna OS-----DRIVER----HARDWARE. So unapongeea driver ni kama unaongelea mtu kati(Program) aliye kati kati ya OS- HArdware.
Program. inafanya maswasilaiano moja kwa maoja na OS kuteeleza jukumu au majukumu fulani. Eg Ms office, Photoshop, notepad
U right mtazamaji, ila Sio hardware tu!! Sometimes inaweza kuwa ni Kusaidia program flani iwasiliane na Program nyingine... Mfano unapotaka program flani iweze kuwasiliana na database, kuna mahali unahitaji interface(Driver) eg ODBC kuwasiliana na Database..
Ok ni kweli lakini nadhani kuondoa mkanganyiko hizo zimepewa jina lingine la kitaalam Middleware. Correctt me if am wrong . Ukitaja driver lazma kuwe na hardware.
Lakini hiyo ODBC na database ni wa ajili communication btn two application(Sofware) .No Hardware involved