Adapter problem the driver is not installed!

G M S

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
502
53
Wadau hivi ndivyo inavyoniambia comp ninapojaribu kumalizia driver niliyodownload(wifi) kutoka katika dell.com kwajili ya deli yangu d630. Tatizo nini na nifanye nini?
 
Wadau nilikuwa nadownload driver ya dell 630 nikakamilisha ila katika kuinstall inadai cd inadai hii niliyodownload ni part hivi hili liko vp)
 
Member hv kuna tofauti yoyote kati ya driver na program?
 
Program ni software. Driver ni ile unayo install ili pc ifanye kazi vizuri e.g sound drivers, Vga etc.
 
Member hv kuna tofauti yoyote kati ya driver na program?

Driver ni program inayofanya hardware fulani itambulike na ifanye vizuri kazi na OS. . So ukiongolea driver kuna OS-----DRIVER----HARDWARE. So unapongeea driver ni kama unaongelea mtu kati(Program) aliye kati kati ya OS- HArdware.

Program. inafanya maswasilaiano moja kwa maoja na OS kuteeleza jukumu au majukumu fulani. Eg Ms office, Photoshop, notepad
 
usipokuwa specific majibu utakayopota mengi yanakuwa general na most ni ya kubahatisha zaidi.
Mfano
  • unadowlowd driver- Driver gani ? umeidolwoad kutoka link gani
  • OS ya dell yako ni ipi
Uki add some moroe useful detail kwa tatizo unarahisha kuapata utatuzi haraka

Otherwise wa ubahatisha hiyo driver unayosntall inategma iko katika format gani. Ni exe file? Maana sometime windows unaweza kuistall driver from CD au location yeyote ya computer ( Cdrive au hata USB ) . Mara nyingi driver zina extenion ya . inf . So inabidi ujue location na path ya .Inf file unaytakiwa kuinstall
 
Natumia window xp kwenye dell d630 kwa sasa nnapo washasha inasema log on to windows user name_dell
password_ _
na hata nisipoweka password nikiweka ok inafunguka na hata wakat wa kuzima mfumo umebadilika inasema what u want to do na option zake wakat mara ya kwanza ilikuwa inaorodhesha kurestart log of na turn of huu mfumo mpya sijajua tatizo naomba msaada?
 
Kimaana zote ni program lakini kiutendaji zinatofautana sababu driver ni software inayo saidia hardware ili iweze kutambulika kwenye window au o/s ambapo program si lazima ihitaji hardware kwani huweza kujitegemea na ikafanya kazi mfano wa programs ni kama m/s office(word,excel),spss,antvirus n.k na driver hutegemea hardware mfano printeror any devices runs through usb port,pci,sound hardware ambapo sauti inayotoka kwa comp yako kuna printed hardware chip ya sauti ndan ndio mana uki format computer kwa lower version of windows eg win xp sp1 au 2000 computer hushindwa kutoa sauti kwa vile hakuna file au driver zinazo itambulisha saund hardware kwenye window hiyo ,,think tupo pamoja mkuu,
 
Adapter problem the driver is not installed! Driver ya kudownload inataka cd. Wadau comp yangu inawaka na kuzima kwa staili nyingine!
Ndani ya dk kama 15 umeazisha thread kama tatu. Usipaniki dili na tatiz moja kwanza. Unaweza kutatua moja mengine yakaisha. Inawezekaanaa kuna kitu umeisnatall kwenye mashine yako kimevuruga registry. Fanya system resotore soma hapa kufuata maeleezo.http://www.computerhope.com/issues/ch000589.htm
 
Driver ni program inayofanya hardware fulani itambulike na ifanye vizuri kazi na OS. . So ukiongolea driver kuna OS-----DRIVER----HARDWARE. So unapongeea driver ni kama unaongelea mtu kati(Program) aliye kati kati ya OS- HArdware.

Program. inafanya maswasilaiano moja kwa maoja na OS kuteeleza jukumu au majukumu fulani. Eg Ms office, Photoshop, notepad

U right mtazamaji, ila Sio hardware tu!! Sometimes inaweza kuwa ni Kusaidia program flani iwasiliane na Program nyingine... Mfano unapotaka program flani iweze kuwasiliana na database, kuna mahali unahitaji interface(Driver) eg ODBC kuwasiliana na Database..
 
Ok ni kweli lakini nadhani kuondoa mkanganyiko hizo zimepewa jina lingine la kitaalam Middleware. Correctt me if am wrong . Ukitaja driver lazma kuwe na hardware.
Lakini hiyo ODBC na database ni wa ajili communication btn two application(Sofware) .No Hardware involved
 
Ofcourse naona kama kuna mkanganyiko hapa.. Wa MiddleWare na Driver..

Kuna hizi wanaziita, JDBC Driver JDBC driver - Wikipedia, the free encyclopedia ,

JDBC Architecture Overview :: Chapter 13. Using PostgreSQL from a Java Client Application :: Part II: Programming with PostgreSQL :: Postgresql :: SQL :: eTutorials.org

zinatumika ku enable Program ku communicate na Database, mfano ODBC Driver, OLE DB Data Provider etc, hizi wanaziita Drivers.. But hapo hakuna hardware, it is Program to Database.. MiddleWare kwa upande mwingine ina act as an interface kati ya application mbili au zaidi zenye format tofauti ziweze kuwasiliana..

So in short a Driver is just an Interface kati ya Hardware/Program na Program
 
Jamani msaidieni mwenzenu apate wifi kwenye dell yake d630 halafu tuendelee kujuzana tofauti ya driver na software.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom