Absalom Kibanda akamatwa!

Hivi ile Ripoti ya tume iliyoundwa kuchunguza kifo cha Jwani mwakyusa ilishatoka? au uchunguzi bado unaendelea?
 
Hakuna jamii isiyohitaji uchochezi, kila jamii inahitaji uchochezi ili ipate maendeleo na kushamiri.
Mashule na vyuo ni vituo vya uchochezi dhidi ya ujinga, umasikini na ukandamizwaji wa kila aina dhidi ya ustawi wa mwanadamu, maadili n.k.
Ningeishauri serikali kama kweli ina dhamira ya kupambana na huo uchochezi wa fikara, na ianze kufunga mashule na vyuo ili vitumike kama maghala na vyuo na madangulo, pia magereza kwa ajili yetu tusioweza kuminywa wala kuzuiwa kufanya mambo sahihi na kuongea mambo sahihi nani ya wakati.
 
Last time JK akiongea na wazee wa CCM waliopo daslam alisema akiamua kuwa dictator atakuawa anasema 'kamata yule weka ndani', sasa huyu ni muandishi wa habari wa pili kukamatwa kwa the same count in the same month.
 
"Katika mazingira haya
ndimo tunakuta: kamata
mbowe, kamata Slaa.
Kamata Zitto. Bambika
mashitaka. Weka rumande.
Peleka mahakamani… Fungulia mashitaka… kama
jana, kama leo, kama kesho,
kila siku."

Mnayakumbukwa hayo maneno yaliandikwa na mwandishi gani wa mwanahalisi?
Je kinatofauti gani na hali inayoendelea leo nchini kwetu?
 
Jeshi la polisi linamshikilia mhariri wa gazeti la Tanzania Daima, A. Kibanda kwa tuhuma za uchochezi. Kibanda anashikiliwa kwenye makao makuu ya polisi jijini Dar es Salaam.

Mwenye waraka wa yule mwana cdm wa arusha aliouandika katika TANZANIA DAIMA AUWEKE HAPA PLEASE
 
Walianza na Jerry Muro,Malecturers wa Ustawi,Lema,wakaja Wanachuo wa UDSM,Jana Mhimbili,leo Kibanda...Maboss wa polisi siku hizi wamepewa Magari ya V8 lazima wafe na mtu...................JK from JW to poltician and today back to his JW proffessional.

Occupy Streets...
 
We got this whole motherf**k*r on a mission Now the, whole entire world's Gotta try to come up with a quick decision They claim we threats to society ,.And now they callin' on the government To try and make somebody quiet. And we were always considered evil now they tryin' to bust our only code of communicating with our people
Let's peep the game from a different angle .
 
Jeshi la polisi linamshikilia mhariri wa gazeti la Tanzania Daima, A. Kibanda kwa tuhuma za uchochezi. Kibanda anashikiliwa kwenye makao makuu ya polisi jijini Dar es Salaam.

Kachochea nin tena huyo kamanda?
 
Hapa cha msingi ni kukamata makala kadhaa na kuzisambaza ili watu wajue uchochezi huo niwa aina gani.
Ikiwezekana kuprint makala kuzifoto kopy na kuwagawia maaskari ambao hawakuziona ili na wao wapime kama kweli walichochewa kuenenda kinyume na maagizo ya wakubwa wao.
 
"Katika mazingira haya
ndimo tunakuta: kamata
mbowe, kamata Slaa.
Kamata Zitto. Bambika
mashitaka. Weka rumande.
Peleka mahakamani… Fungulia mashitaka… kama
jana, kama leo, kama kesho,
kila siku."

Mnayakumbukwa hayo maneno yaliandikwa na mwandishi gani wa mwanahalisi?
Je kinatofauti gani na hali inayoendelea leo nchini kwetu?

Mwandishi anaitwa ndimara tegambwage.
 
Hapa cha msingi ni kukamata makala kadhaa na kuzisambaza ili watu wajue uchochezi huo niwa aina gani.
Ikiwezekana kuprint makala kuzifoto kopy na kuwagawia maaskari ambao hawakuziona ili na wao wapime kama kweli walichochewa kuenenda kinyume na maagizo ya wakubwa wao.

Hilo laweza kuwa neno.
 
Haja kamatwa ila ameitwa kulisaidia Jeshi la polisi acheni uchochezi nyie mnajua maana ya kukamatwa!!!!!
 
Haja kamatwa ila ameitwa kulisaidia Jeshi la polisi acheni uchochezi nyie mnajua maana ya kukamatwa!!!!!

Hii ni lugha laini ya kukamatwa. Unajua namna raia anachuliwa na polisi ili akawasaidie?
 
Back
Top Bottom