Aambiwe (Babu jinga)

Umedata wewe,toka Lizzy apigwe ban sidhani kama hata tonge la ugali limeshuka.
Pole.
 
Last edited by a moderator:
Haooooo unaowazonga kila kona. Ingekua mimi ndo unamchokonoa chokonoa mume wangu hivyo kila saa, ningekushushua mpaka ushangae!

Kesho nakwenda zangu arumeru kuhamisha mizigo yangu,narudi zangu dar,cha kufia nini,kuna thread nimetishiwa bastola.
 
Back
Top Bottom