Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,539
- 11,442
Bishanga mwenzio naungana na canta kwenye huzuni ya kufungwa Man U..
Heee pole sana Cantalisia na pia pole Amyner....hamieni Chelsea
Last edited by a moderator:
Bishanga mwenzio naungana na canta kwenye huzuni ya kufungwa Man U..
Mmh...! Ngabu msalimie babu jinga.
Asante Erick, kuhamia chelsea ni ngumu sana ni km kuhama kabila,Heee pole sana Cantalisia na pia pole Amyner....hamieni Chelsea
Mie nshapoa japo hatujakata tamaa ya kutwaa ubingwa maana lolote la weza tokea kwa mechi zilizobaki!Unasema?
Mpe Cantalisia pole,mwambie mansite wako ddddjjjuuuu!!!
mbona niko naye hapa? au unataka kujimuvuzisha na anga hizi? lol!Bishanga unasalimiwa na Amy...
yale yaleeeee ya fisi na mlevi,alidhania mkono utadodondoka........Mie nshapoa japo hatujakata tamaa ya kutwaa ubingwa maana lolote la weza tokea kwa mechi zilizobaki!
Asante Erick, kuhamia chelsea ni ngumu sana ni km kuhama kabila,
Mie ni man u 4life hata ikishuka daraja nitaipenda tu!
kwa nini unashabikia timu mpofu mpofu?
Bishanga unasalimiwa na Amy...
Asante Erick, kuhamia chelsea ni ngumu sana ni km kuhama kabila,
Mie ni man u 4life hata ikishuka daraja nitaipenda tu!
Kweli kabisa mwaya.. Tena tunavaa jezi proudly! Miss u Cantalisia dear. Shem Rejao ndo hakupi hata ruhusa ya kutembelea shosti zako?