Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,323
- 10,050
Tulale kabla hatujachombezana?!Usinchekeshe!!
Mmeo haangalii mpira?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulale kabla hatujachombezana?!Usinchekeshe!!
Mmeo haangalii mpira?
Mnakung'utwa leo.
Kongosho yuko wapi jamani,sijamwona leo.
Matokeo ni dakika 90 Bishanga,kabla ya mechi ni mbwembwe tu!
Babu jinga inama usikie,Sipendi kuongelea watu wengine.
BTT
Nyani Ngabu
Wewe achana na Bishanga, anataka tu kukukorofisha ukose hata kucheka na huyo umpendae.
mmekula nyie?
Babu jinga inama usikie,
Mali yako inaliwa,
Mali yako inaliwa......
Sasa nimeelewa.
Atiiiiii?!Babu jinga inama usikie,
Mali yako inaliwa,
Mali yako inaliwa......
Sasa nimeelewa.
Babu jinga king'ang'anizi sijapa kuona
Atiiiiii?!
Ati nini?
Anang'ang'ania nini? Kuishi arusha?
Ati nini?
Sijakuelewa!!Habari ya sijui nani kuliwa mali zake inanihusu vipi?!Usijenigombanisha na mume wangu ehhh.
Unajua Mama Ashrat hapa duniani kuna watu, viatu, na chatu!!
Unasema?
Mpe Cantalisia pole,mwambie mansite wako ddddjjjuuuu!!!