A shoulder to cry on

Boss nakubali kuna wanawake ambao company yao ni wanaume tu; ila si wengi kama unavyozani wanaweza kuwa na just company. Wa hivyo ndio wanaitwa tomboys.

Kuna dada nilisoma nae primary; alikuwa ni extremely beautiful lakini yeye alikuwa na company ya wanaume tu; hata michezo yake ilikuwa football; nyumbani kwao umeme ukikorofisha ana utundu ule wa kiume wa kurekebisha.

Ila kasoro yake tulikuwa tunasikia tetesi kuwa anachukua wanawake wenzie mpaka hao men friends wake wakawa wanamchukia maana anawanyang'anya wasichana wao. Tomboys wengi (si wote) wana ka ulesbian ndio maana hata akilala kitanda kimoja na mwanaume hafeel chochote nini lunch.
Sisi tulio umbwa kike zaidi ngoja tujiepushe na mazingira ya kutaka, kutakana.

Kuna mifano mingine mingi ya wasichana wanaojidai ooh mi company yangu wanaume tu; wakiona msichana yuko na mwanaume ambaye alidai they were just friends anaona wivu sasa huo ni urafiki au upenzi????

mhhh thats strange...wanawake wengine hawana ma best friend wa kike....
so inatokea their best friends ni wanaume....
 
Boss nakubali kuna wanawake ambao company yao ni wanaume tu; ila si wengi kama unavyozani wanaweza kuwa na just company. Wa hivyo ndio wanaitwa tomboys.

Kuna dada nilisoma nae primary; alikuwa ni extremely beautiful lakini yeye alikuwa na company ya wanaume tu; hata michezo yake ilikuwa football; nyumbani kwao umeme ukikorofisha ana utundu ule wa kiume wa kurekebisha.

Ila kasoro yake tulikuwa tunasikia tetesi kuwa anachukua wanawake wenzie mpaka hao men friends wake wakawa wanamchukia maana anawanyang'anya wasichana wao. Tomboys wengi (si wote) wana ka ulesbian ndio maana hata akilala kitanda kimoja na mwanaume hafeel chochote nini lunch.
Sisi tulio umbwa kike zaidi ngoja tujiepushe na mazingira ya kutaka, kutakana.

but sijui wewe uko nchi gani now
kwa wabongo these days wanawake wengi wanasema they dont have a female best friend
wengi wanahofia kuumizwa na hao mashosti wao...so mazingira hayo yanapelekea kuwa na
a male best friend,mwisho huwa friends with benefits maybe lol
bottom-line kila mtu anahitaji atleast one close friend,nionavyo mimi
 
Ukiwa na majukumu ya familia you may find it easy not to have any best friend. Mimi sina best friend kwa kuwa am too busy with work and family. My hubby and kids are my best friends. Sasa kama nimegombana na hubby my shoulder is my littlle sis; kwani sina rafiki wa kumuamini kihivyo kushare nae my marital issues. Nina piga story za juu juu na few office mates but cannot call them best friends.

umeona hapo
una a lil sis anakusaidia
kuna wengine hana mtu yeyote
na sio ndoa zote,watu ni ma best friends lol
ndoa zingine watu wana sleep with their enemies lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom